Recent content by The dony

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Mwenyekiti wa Wapangaji Tanzania, hivi Mwenye nyumba wako anakubali kodi ya mwezi mmoja?

    Mwenyekiti wa wapangaji alafu yeye amejenga anaishi kwake ..anawajaza wapangaji....akili za kuambiwa changanya na zako ....
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2025/26

    1. ARSENAL 2.CHELSEA 3.MAN CITY 4.NEW CASTLE
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

    unanuaje mitungi miwili kwa wakati mmoja yote ya 50kg?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    kasi gani kaka? 1. Maji ya dawasco hayatoki wiki ya pili sasa hv! 2.Umeme unakatika kila baada ya masaa manne ! 3.Ofisi za umma hakuna nidhamu watu wanajipigia madili tu! 4.Phase One ya SGR mpka sasa hv haijaanza kufanya kazi ,wanabomoa nyumba vingunguti na majumba sita kujenga flyover za...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Nyanda za Juu tumechoka kuwa washangiliaji na sisi tunataka treni ya umeme kama 'Wenzetu'

    alikuwa wapi siku zote asiongee..anyamaze tuiponye nchi kwanza , angeongea kipindi cha awamu ya tano ndo tunemskiliza vizuri
  6. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Chuo Kikuu Mzumbe na IFM zimejaa Siasa, Wahitimu wa hivyo vyuo wengi ni Vilaza

    Mbona kuna wengine wamesoma udsm na wana phd na kiingereza hawezi kuongea ?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mh Lema adokeza kuhusu Kampeni ya kususia makampuni ya mawasiliano yanayoumiza wateja wao

    Me nmeshatoa hela zangu zote kwenye mpesa nimeziweka ndani...nasubiri Muda wa usajili uishe waifungie laini yao....na hisa nmeshauza last month
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote aliyewahi kuagiza gari online with SBT Japan.

    Kaka Gari agiza kupitia real motors ya Japan hao sbt au beforwad ni majanga kama ndo mara yako ya kwanza kuagiza gari utajuta...unapoagiza gari usiangalie picha tu ..ulizia car grade?scratch,dent ,accident history ....etc
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Watanzania ni waoga kufanya manunuzi Mtandaoni?

    binafsi mimi ni ubora wa bidhaa ukipigiwa picha bidhaa unaiona nzuri ikifika sasa utatamani kutupa mfano kikuu tanzania kingine ETA, unapoagiza wanakuambia two weeks baada ya malipo utasubiria 5-6 weeks cha mwisho kwa online store za hapa bongo ni bei unakuta bidhaa unajua kabisa bei yake ni...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaalika Ikulu Wafanyabiashara wakubwa watano kutoka kila Wilaya

    Agenda ya mkutano ni nn? Kwa walioona hyo barau
  11. T

    JamiiForums Tanzania JESHI LA POLISI: kwepeni aibu Hii

    Wanatafuta hela za mafuta ya kuweka kwenye crown walizopewa na RC...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Madereva wa gari za mizigo za Hill Company wako rafu sana

    sasa mtoa mada anasema vi canter kama RC wa dar alvyoita IST magari ya kuhongwa, meseji hapa ni kwamba unapotoa mada usiweke maneno ya kejeli,dharau etc
  13. T

    JamiiForums Tanzania Madereva wa gari za mizigo za Hill Company wako rafu sana

    Ww unahisi ni bei gani?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Madereva wa gari za mizigo za Hill Company wako rafu sana

    Nazungumzia canter za hill company amenunua brand new
  15. T

    JamiiForums Tanzania Madereva wa gari za mizigo za Hill Company wako rafu sana

    Mbona anasema Vicanter ?unajua yhamani ya brand new canter ww? Au ndo dharau kama za mkuu wako wa mkoa?gharama ya canter moja ni zaidi ya 100ml,wew unatumia gari gani mkuu?
Back
Top Bottom