Madereva wa gari za mizigo za Hill Company wako rafu sana

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Kwa wanaotumia barabara hii ya New Bagamoyo road mara kwa mara watakubaliana nami hawa vijana wanaoendesha vi Canter vinavyosambaza bidhaa za Hill Company ya Mapinga wako so rough...wanaovatake hovyo bila kujali nani anakuja mbele na wako speedy bila uzingatifu...imenitokea kama mara 4 hivi hawa vijana wananinusurisha ajali nalazimika kuwakwepa...uongozi wa Hill kaeni na hawa vijana waambieni wa behave barabarani...hawako juu ya sheria.
 
Mbona anasema Vicanter ?unajua yhamani ya brand new canter ww? Au ndo dharau kama za mkuu wako wa mkoa?gharama ya canter moja ni zaidi ya 100ml,wew unatumia gari gani mkuu?
 
Faza Canter moja ni zaidi ya nini vile!?

Eeeeeeeeeh!?
 
Mazwazwa tunao wengi. Topic ni uendeshaji mbovu wa canter za hill. Mwengine anauliza Hill ni kampuni ya nani? Wengine wanauliza bei ya canter. Wengine wanamtongoza meneja mkuu wa hill.
 
Mbona anasema Vicanter ?unajua yhamani ya brand new canter ww? Au ndo dharau kama za mkuu wako wa mkoa?gharama ya canter moja ni zaidi ya 100ml,wew unatumia gari gani mkuu?
Mkuu hizo Canter ni za mwaka 2018 au 2019 ? ili turudi kwenye hoja ya bei
 
Kwa wanaotumia barabara hii ya New Bagamoyo road mara kwa mara watakubaliana nami hawa vijana wanaoendesha vi Canter vinavyosambaza bidhaa za Hill Company ya Mapinga wako so rough...wanaovatake hovyo bila kujali nani anakuja mbele na wako speedy bila uzingatifu...imenitokea kama mara 4 hivi hawa vijana wananinusurisha ajali nalazimika kuwakwepa...uongozi wa Hill kaeni na hawa vijana waambieni wa behave barabarani...hawako juu ya sheria.
Well said jirani, hata Mimi ninawaona, nakumbukuka kuna mwaka Costa yao iligonga mwanafunzi hapa bunju.
 
Mbona anasema Vicanter ?unajua yhamani ya brand new canter ww? Au ndo dharau kama za mkuu wako wa mkoa?gharama ya canter moja ni zaidi ya 100ml,wew unatumia gari gani mkuu?
Anzisha thread ya brand new canter
 
Mazwazwa tunao wengi. Topic ni uendeshaji mbovu wa canter za hill. Mwengine anauliza Hill ni kampuni ya nani? Wengine wanauliza bei ya canter. Wengine wanamtongoza meneja mkuu wa hill.
Ndio unaweza kuelewa pia kwanini watu ni maskini kwa sababu ya matumizi yasiyo sahihi ya ubongo
 
Mazwazwa tunao wengi. Topic ni uendeshaji mbovu wa canter za hill. Mwengine anauliza Hill ni kampuni ya nani? Wengine wanauliza bei ya canter. Wengine wanamtongoza meneja mkuu wa hill.
sasa mtoa mada anasema vi canter kama RC wa dar alvyoita IST magari ya kuhongwa, meseji hapa ni kwamba unapotoa mada usiweke maneno ya kejeli,dharau etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom