Recent content by The-Don

  1. The-Don

    Matunda ya Usanii wa Mwalimu Nyerere yaanza kuonekana!

    Stupid thinking,! Sikulaumu, ndio uelewa wako, hujui kuhusu mwalimu nyerere na jitihada zake za kujenga ujamaa na kujitegemea, hujui hata ni namna gani mwalimu alikuwa na ugomvi na mabepari wenyeji waliokuwa wanapinga falsafa ya kijamaa, fatilia falsafa yake na alivyoiapply katika taifa, hakuwa...
  2. The-Don

    Marekani yaivaa Tanzania: Yasikitishwa na uvunjifu wa haki za binadamu na ukamataji wa watu ovyo unaofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano

    Hiyo misaada mbona baada ya JPM kuingia madarakani ilikatishwa, Kuna asiyelijua Hilo, naye akaja na Sera ya kwamba taifa tutalijenga wenyewe na kuzuia misafara ya nje ovyo ovyo, ukitegemea misaada hafu mtoa msaada akafa utatangatanga, so JPM analijua Hilo na hapapaliki ...
  3. The-Don

    Wakulima wafunguka kuhusu bei ya korosho

    Hayo ni makubariano ya anayetoa mkopo na anayepokea, mnunuaji hayamhusu na hajui na Hana haja ya kujua muuzaji anadaiwa wapi na ni kiasi gani, kwani alipokuwa anakopa huyo pembejeo, mnunuaji alipewa taarifa ?? Iweje Leo yupo katika kununua umjie na habari zako hizo?? Mtadaiana huko mlikokopeshana
  4. The-Don

    Shoga anapokamatwa anawekwa mahabusu ipi?

    Kangi hawezi kuhararisha ushoga wakati katiba yetu inapinga swala Hilo, by the way polisi na structure yake sio katiba ya nchi, kubadili structure sio katiba, Tena nyongeza alisema Hana taarifa Kama Kuna mashoga wanasumbuliwa na Kama wapo basi wakaripoti kituoni kuwa wanasumbuliwa, kwaakili ya...
  5. The-Don

    Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    Waanze Kwanza Siria na wakifanikisha ndio waje, anachowafanya Trump wamenyamaza hee, Kwanza hata hao haki za binadamu kaminya luzuku, wanatapatapa tuu, huyo jiwe Hana time ya kuwaabudu hao na ndio maana hata huko kwao hang'ai anajua hawana jipya, Jana jiwe kasema hao wakija kwako wanahesabu zao...
  6. The-Don

    Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

    Hahahahaaaaaa!!
  7. The-Don

    Boom haliwatoshi wanafunzi wa elimu ya juu

    Kadili upatavyo pato zaid ya jana, ndivyo matumizi yanavyoongezeka, hata wakiongeza kuwa 20,000/= matumizi nayo huongezeka, bado pesa haitotosha, lakn tujiulize, hivi kama pesa haitoshi toka ilivyoanza kutolewa had leo, je tunaishije sasa? basi na tuendelee kuishi hivyo, pesa iko katka balance...
  8. The-Don

    JKT Awamu ya tatu

    Ndio maana wanawataka kwenda JKT,ili kufaulu somo la uvumilivu, tuulize tuliopitia huko......nouma
  9. The-Don

    JKT Awamu ya tatu

    Oya msichamganyikiwe vichwa, tambueni kuna baadhi ya vyuo vilishafungua na watu wapo vyuon kama chuo cha ST AGOSTN tawi la SONGEA, ambao wanahitajika JKT, baada ya kuonekana hilo wale wote waliotakiwa kwenda huko wamesitishwa, watakwenda huko baada ya kumaliza jukumu la chuo mnamo mwaka 2016,
  10. The-Don

    HESLB Kuachia majina waliopata mkopo Ijumaa tarehe13.

    Asante kwa kutujuza na kutuonya
Back
Top Bottom