JKT Awamu ya tatu

nlimwambia uyo major kuhus hlo akasema itabid kiharishwe hadi mwez wa kwanza.. ila mambo ya hii nchi hutakaa uyaelewe tusubir 2.

Duuugh eti itabidi kihairishwe....kwanini wao wasiahirishe iyo jkt sasa
 
Hii ndo tz ye2. 2subiri kauli za wakubwa. But wacpoelewana c ndo tunaumia. Muhimu somo la uvumilivu lizingatiwe!
 
Oya msichamganyikiwe vichwa, tambueni kuna baadhi ya vyuo vilishafungua na watu wapo vyuon kama chuo cha ST AGOSTN tawi la SONGEA, ambao wanahitajika JKT, baada ya kuonekana hilo wale wote waliotakiwa kwenda huko wamesitishwa, watakwenda huko baada ya kumaliza jukumu la chuo mnamo mwaka 2016,
 
Ndio maana wanawataka kwenda JKT,ili kufaulu somo la uvumilivu, tuulize tuliopitia huko......nouma
 
Back
Top Bottom