Kwa hiyo pamoja na nchi yetu kuwa mzalishaji wa gesi unaona bei tunayouziwa ni sawa?
Hizi kampeni za nishati safi zimewezesha vipi wananchi kununua gesi kwa bei rafiki au mnadhani ukigawa mtungi ndo umemaliza!!
Simu zangu mbili kwa nyakati tofauti nawakabidhi Polisi IMEI hazikupatikana hadi kesho, zaidi wanakusajili na kukuomba uwaachie mawasiliano yako ndo imetoka hivyo! Ifike mahala TCRA wapewe nguvu na wawe na ofisi kila Mkoa wadili na vitu kama hivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.