Recent content by The boy tz

  1. The boy tz

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    pamoja Santa mount meru ni hospital ya rufaa pia selian ni ya rufaa
  2. The boy tz

    Wasifu wa Iddi Kimanta, Mkuu wa Mkoa mpya Arusha

    Basi akaribie arusha mjini mana kutoka monduli mpaka a town 1200 tu nauli
  3. The boy tz

    GE2020 Kuna kila dalili za lolote kutokea katika Uchaguzi wa Mwaka huu

    Kwa upinzani huu ccm inaweza kukaa madarakani miaka 100
  4. The boy tz

    Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

    Ebu nipe chimbo mkuu mana kuna mpaka vitabu vya draft
  5. The boy tz

    Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

    Wakuu naomba mnipe kopi chache ambazo mtu akiingia hatoki.
  6. The boy tz

    Fekon, haojue, honda, sanya, blast ipi inafaa

    Pikipiki ni honda hizi za kichina kihindi utafahamina na mafundi wote utakuwa unaenda huko mara kwa mara.
  7. The boy tz

    Rais wetu ana kitu moyoni, mimi nadhani yuko sawa

    Walizuia ndege mapema 2 kila mtu anavaa barakoa wakati hapa kwetu watu hawavai na mikusanyiko bado inaendelea kwenye daladala bado watu wanajaa mpaka kusimama viongozi wameanza kulaumu vipimo baada kushindwa kulinda raia sasa hivi wanatafuta mchawi ni nani kati vipimo na wazungu
  8. The boy tz

    Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

    Umesema waoaji wapya wote ni mabwabwa nami nasema si kweli
  9. The boy tz

    Hawa hapa watu 8 pekee anaowafollow Rais Magufuli katika Twitter

    Kwenye swala la corona kafeli sana
  10. The boy tz

    Bei ya mafuta nchini yashuka kwa kiasi kikubwa

    Arusha mafuta ni rahisi kuliko dar
  11. The boy tz

    WHO yailaumu Tanzania kutokutoa ushiriano mzuri takwimu za COVID19

    Tarehe 5 Januarii, shirika hilo lilisema kuwa taarifa lilizokua nazo zilionyesha kuwa "hakuna ushahidi muhimu wa maambukizi kati ya binadamu na binadamu''. Na tarehe 14 Januari, shirika hilo lilituma ujumbe wake wa twitter kwamba uchunguzi wa awali wa Wachina umebaini kuwa "hakuna ushahidi...
  12. The boy tz

    WHO yailaumu Tanzania kutokutoa ushiriano mzuri takwimu za COVID19

    Mbona sisi hatawalaumu who kwa kuvilea virusi uko china mpaka vikasambaa duniani
Back
Top Bottom