Recent content by The BornAgain

  1. T

    PreGE2025 Wakili Peter Madeleka: ACT ikiingia Madarakani, Tutahakikisha kila Askari anamiliki Ghorofa na Land Cruiser

    Kuna point uliziskia unaona kabisa zilivyo ovyooooo...kila police awe na ghorofa na landcruser, mtoa kauli anajua maana yake kiuchumi na ktk mambo ya ajira za serikali? Ila kuboresha maslahi yao ni jambo sahihi. Ila how? Sio kama ivyo mtoa kauli
  2. T

    Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

    Nashangaa , sisi sote ni Watanzania. Uwepo wa vyama vingi haiondoi umoja na Utanzania wetu. Lugha ya muanzisha uzi kuwa wengine ni matapeli ni kwasababu yeye hayuko upande huo, hoja zizingatiwe kwa pande zote. Wanaosema No reform no election wana hoja ukiwa neutral utaelewa..na wanaopuuza wana...
  3. T

    PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

    Kwenye siasa inawezekana kabisa , hii inaweza tokea kabisa this time ili tu iaminike demokrasia ipo..kuna majimbo watawala wanaweza wasitumir nguvu ili atleast wapinzani kutoka hasa chauma waweze shinda..lakini itategemea mazingira ya wagombea..yote juu ya yote tunataka wagombea iwe ccm au wapi...
  4. T

    PreGE2025 Devota Minja mkutanoni CHAUMMA, asema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi labda kuwe na vita

    Kwani kuna mtu au taasisi inayozuia uchaguzi? What if wapiga kura wasipige kura au wasijitokeze? Au what if uchaguzi huo kwa chama fulani kikakataa kupigiwa kura? Ndio dhana yao..yani kama wewe ukisema bila hiki sitakula..kweli hutakula ila wengine watakula
  5. T

    Yanga ni chamdeko.. Yanga ni lialia

    Tatizo la msingi unalijua?
  6. T

    Yanga ni chamdeko.. Yanga ni lialia

    Nijuavyo mm hakuna derby ya NBC, ile ya tar 8 walipita nayo bodi ya ligi na simba. Yanga hata isipopewa point haitacheza, kuitisha kushushwa daraja sio tatizo kama wengine wanavyodhani..pia yanga haiwezi kuihofia simba kwakuwa si tishio kwake hata takwimu zinajulikana..hata simba angeshinda ile...
  7. T

    HansPaul Tunakushukuru Kwa ushauri wako ulipotoa maoni ya kwamba Mshahara wa Laki Tano Usikatwe kodi. Rais Samia Mi 5 tena

    Anaweza kuwa kiongozi mzuri lakn sio aongoze hadi achoke , huko ni kujikosea na matumizi mabaya ya akili na uhuru wa kutoa maini..na kujidharau na kuwadharau watz wengine
  8. T

    Donald Trump anataka Ibrahim Traole akamatwe,Macron aunga mkono

    Inawezekana kabisa! Naanza kuhisi sisi wengi kwemye nch maskini hatujui kiongozi mzuri ni yupi...maana huyu dogo kuna watu wanasema yuko vema sana ila wengine wanasema ni hatari, kwamba ni kiongozi haijapata kutokea Africa yote iige!!! .alikuwepo wa kwetu nae kuna watu walidiriki kumfananisha na...
  9. T

    PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

    Hapana..punguza kidogo, siasa ndivyo zilivyo.
  10. T

    PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

    Nadhani kuna mambo mengi sana ktk nchi wengine hatuyajui..yani huko utawalani, huko upinzani ktk nyanja za uchumi na usalama. Yani kwa tabu hizi wanazopata hawa viongozi wa upinzani hasa cdm inanifundisha kuwa wapo watu wanaojua kujitoa mhanga, na tupo waoga kama sisi, yani uoga wetu ndio salama...
  11. T

    NIKUSAIDIE KUFANYA HIZI KAZI

    Bado tuko pamoja na wanajamvi wote! Kwa ajili ya huduma kazi kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii. 1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo (wewe unaye amini mchakato huu ni muhimu kwa harakati zako za maendeleo) 2) Kukuandalia Pendekezo la mradi wowote na kusaidia...
Back
Top Bottom