Recent content by The Bliss

  1. The Bliss

    Wanaume mnaowashika wanawake makalio na matiti Kariakoo kiama chenu kinakuja; Chalamila anawachemshia dawa

    Dar es salaam ina wanaume wengi dhaifu sana hata afya zao za akili ziko hoi. Kwasababu binadamu mwenye akili timamu huwezi kufanya ujinga kama huu.
  2. The Bliss

    Sheria ya ndoa ya mke mmoja kwetu sisi wakristo ilitoka kwa nani?

    Mathayo 19:4-6 Yesu akawajibu, “Je, hamkusoma katika Maandiko Matakatifu kwamba Mungu aliyemuumba mtu tangu mwanzo alimfanya mwanamume na mwanamke, na akasema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?’ Kwa hiyo, wao si...
  3. The Bliss

    Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara kuhusu kilichotokea Mlima Hanang

    Huwezi zuia natural disasters. Kitu cha muhimu ni kutokuishi maeneo ya karibu na huo mlima hasa sehemu inayoonekana ni njia ya maji yatiririkayo kutoka mlimani.
  4. The Bliss

    Mwigulu unaowatuma mitandaoni kukusafisha unajidanganya, matendo yako yapo dhahiri kuhusu uchumi wa nchi hii, umeporomoka

    Tatizo la hii nchi linapokuja suala la kitaifa bado kuna watu wanashadadia uchama! Mwigulu hafai kuwa waziri wa fedha.
  5. The Bliss

    New WhatsApp Update

    Updates ni muhimu sana kwa dunia ya sasa kwasababu za kimaboresho au security purposes! Kuwa mvumilivu ndugu. Siku ukijua technology inafanyaje kazi utanielewa. Kutokufanya updates utakuwa nyuma ya technology na utakuwa hatarini pia.
  6. The Bliss

    Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

    Basi kama ni hivyo: Arusha iende Kenya, Nyasa iende Malawi, Kigoma iende Burundi na Rwanda. Kagera iende Uganda.
  7. The Bliss

    Eti mtoto asipofikisha wastani haendelei. Private school dawa yao jiwe

    Pole sana lakini naomba nikukumbushe kuwa private sectors zina sera zao ambazo wanaziishi ili taasisi zao ziendelee kukua na kuishi. Kabla hujapeleka mtoto wako shule "X" angalia sheria na sera za shule husika kabla hujapeleka mtoto wako ili kuepusha migogoro isiyokuwa ya lazima kwasababu...
  8. The Bliss

    Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

    Ni kweli bei zimeshuka sana kutoka kilo 800-750 hadi 500
  9. The Bliss

    DOKEZO Responded Waziri wa Elimu, huu mtindo wa Kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo ni Sahihi?

    Hivi issue ni gharama za ziada au watoto kutokupata muda wa kukaa nyumbani bila kusoma ??? Nasita kusema wanapumzika kwasababu maana ya kupumzika ni pana sana.
  10. The Bliss

    Uhusiano wa mapepo na wanawake

    Kuna mkuu wa shuleni sehemu fulani mkoa wa Njombe alikuwa mwanafunzi wa kike akianguka mapepo anamwita mzazi anamkabidhi mtoto wake na kumwambie aende nae nyumbani, siku akiona amepona kabisa na hana hamu tena ya kuanguka mapepo atamrudisha shuleni. Tabia iliisha kabisa.
  11. The Bliss

    DEMU KANIAMBIA JIBU LANGU ATANIPA, SASA NI MIEZI 2

    Anajanaa mwingine kwahiyo anamlia timing ya kumuacha ili akukubali wewe. Kwahiyo kuwa mvumilivu wakati anamtafutia jamaa sababu, the more jamaa yake anavyojitahidi kutokutenda makosa the more utasubiri sana!
  12. The Bliss

    Unafikiri Tanzania imefikia sehemu unaweza kununua bidhaa na huduma mitandaoni kwa urahisi?

    Changamoto ni kama ifuatavyo; 1. Wafanyabiashara mitandaoni 90% sio waaminifu. 2. Kutokuweka bei za bidhaa na kuishia kumwambia mteja aje DM au inbox. 3. Picha na bidhaa halisi kukosa uhalisia. 4. Kama bidhaa ikakufikia na ikawa haifanyi kazi vizuri huwa ni kazi kubadilishiwa. 5. Kuna...
  13. The Bliss

    Kalenda ya mihula ya shule 2023 inachanganya walimu

    Government works on paper! Wewe hizo ratiba za mihula ulipata wapi zote mbili zinazokuchanganya??? Jitahidi kutafuta taarifa sahihi kupitia vyanzo sahihi na kwa wakati sahihi. Muulize mwalimu mkuu wa shule anayosoma mtoto wako atakuambia tarehe ya kufunga na kufungua. Habari za kuchanganywa...
Back
Top Bottom