Yaaan Ujinga hauwezi kuisha duniani,
Hivi hiyo mikataba mingine iliyoingia SEREKALI NA TEC wewe unaijua au unaropoka ropoka tu,
Hawa TEC unakumbuka waliganya nn kwenye vita ya RWANDA,
Alafu unaongea pumba zako hapa za habari ya wawakilishi wa mungu,Kwanza nani kakwambia mungu ana wawakilishi??
HIZI MAMBO ZA DINI KWENYE MASWALA YA SERIKALI WAPI NA WAPI.
WANANCHI TUNA WAWAKILISHI WETU
WANAO TUWAKILISHA KWENYE MAAMUZI YA NCHI YETU
SASA HII SIJUI KANISA LINAWAWAKILISHA WANANCHI WAPI HAO
MBONA MAMBO YA HOVYO HAYA
SIJAONA HOJA MSINGI HAPO.
MPAKA SASA WANASHINDWA KUZUNGUMZA UKWELI WA NINI HASA KINASABABISHA WAUCHUKIE HUO MKATABA,
MWIZI HUWA HANA AMANI MUDA WOTE ANAHISI KUIBIWA KWAKUA YEYE NI MWIZI,
KANISA LIMEINGIA MIKATABA MINGI SANA YA HOVYO NA SERIKALI (MOU)
YAKUWAKANDAMIZA WANANCHI KUANZIA KWENYE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.