Recent content by The Big G

  1. T

    JamiiForums Tanzania Dk. Mwele Ntuli Malecela ametoa somo kubwa kwenye vyombo vya usalama

    Sasa uhuru wa mahakama utakuwa wapi kweli Tanzania tuna vilaza wengi
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) yakusanya shilingi Trilioni 1.15 Mwezi Oktoba

    Mapato yameongezeka kama ni kweli serikali iongeze idadi ya watoto watakaopata mikopo kwa ajili ya elimu ya juu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Aisee kuhusu Lugumi hajawahi tamka kitu aisee na hiy kitu wameiua kimya kimya
  4. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Haiwezi kubainika kwasababu waliogawana hizo fedha ndio wangepaswa kubaini ukweli kama upo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Imani ya wa Marekani kwa Wanawake ina Mipaka

    Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi Donald J Trump ameibuka na ushindi wa kutosha dhidi ya Hilary Clinton aliungwa mkono na Rais wa sasa na baadhi ya marais wastaafu. Kwenye uchaguzi huu kuna mengi nimejifunza hasa kuhusu wanaharakati wa haki za wanawake kwenye nchi za kiafrika. Wanawake...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Mshindi wa Urais Marekani, Donald Trump

    Naona kuna grammatical Problem nadhani alisahau ku edit kabla ya kupost.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Mshindi wa Urais Marekani, Donald Trump

    Uchaguzi ungefutwa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Je, umehawahi kupata kazi kupitia tovuti hizi, Brighter Monday na Grab your job?

    Mkuu kazi yangu ninayofanya sasa niliapply kupitia zoom taznania
  9. T

    JamiiForums Tanzania CCM wametoa ratiba ya vikao kwa siku ya leo tarehe 10 Julai, 2015

    Tutarajia kupata mgombea kwa Vikao vya dharura.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Unyama na ukatili wa Waarabu wa Oman kwa wafanyakazi weusi wa ndani ya nyumba (Housemaids)

    Huu ukatili umewahathiri sana watu weusi hasa kutoka kenya sikujua kuwa hata watanzania nao pia wanafanya kazi za ndani Oman. Suala hili la huyu binti linatusikitisha wote na ni vyema wanaharakati, vyombo vya habari na dola vikafuatilia jambo hili. hata hivyo nitoe angalizo kuwa hao wanaofanya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

    Hapo nao taratibu tuanaanza kuwandaa Boko haram, Seleka, alcqaida na Al shabab
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

    Hawa jamaa vitu vyao vyote ni 100% substandard kuanzia sekondari zao kama bondeni arusha, seminari zao hadi madrasa yao Kuu (MUM)
  13. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Nadhani Kagashek hakutendewa haki
  14. T

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mafanikio ya CHADEMA toka 1992. What a shame!?

    kumbe ukiguswa unaumia?
  15. T

    JamiiForums Tanzania ukisoma vyuo private fursa hizi lazima zikupite

    Tukutane kwenye Interview
Back
Top Bottom