Recent content by the american dream

  1. the american dream

    Picha: Tunda na Husna Maulidi wakila bata

    Kipindi nipo Migomigo maskani nasugua benchi kwenye huu msururu wa ajira za kibongo i met few young guys ambao wamepata exposure hapa kibongo bongo. Swali langu kubwa kwao lilikuwa hivi hizi laki kadhaa wanazokutana nazo mara mara huwa wanazifanyia anything productive mf. Kujiendeleza...
  2. the american dream

    Remy vs Nicki Minaj. Daaamn Ma!

    Remy do the right thang,Plata O Plomo is in the street now.
  3. the american dream

    Kinondoni, Dar: DC Ally Hapi aagiza mtumishi wa umma kuwekwa ndani saa 48 kwa kumzimia simu!

    Ni kada kama makada wengine ambao obviously ni ngumu kuwaelewa kama hujanywa maji ya bendera tbh
  4. the american dream

    Je, Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia kuanzia shule za sekondari mpaka vyuo vikuu? Jadili

    Lugha yetu ya kiswahili ni nzuri sana na hatuna budi kujivunia na kuitukuza,ndio lugha inayotuunganisha kama taifa toka enzi za Mkoloni mpaka sasa. Lakini kwa upeo wangu, lugha yetu ina uhaba mkubwa sana wa misamiati ya taaluma mbali mbali kuanzia Sheria mpaka Utabibu. Hizo Nchi zinazotumia...
  5. the american dream

    Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

    Dr. Leaky(sorry kama nimekosea spelling) ndio aliyewafanya hao wengine wooote wawe analystis
  6. the american dream

    Diva aonyesha Mjengo wake mpya

    Shikamoo Brother long time no see
  7. the american dream

    Diva aonyesha Mjengo wake mpya

    Imenishtua kwa kweli doh
  8. the american dream

    Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

    Vitu vinavyotrend ni vingi mnoo hadi vinawachanganya raia wema
  9. the american dream

    Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

    Huo ukuu wa wilaya(before kuwa mkuu wa mkoa) aliupata kwa kumtandika makofi Waziri mkuu mstaafu.By the way jasiri haachi asili.
  10. the american dream

    Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

    Madawa kama hujavuta ni bora usipime kabisa,nimevuta 3yrs heroine. I thank God am sober for 5 consecutive year kama hujawai kuvuta utaongea maneno mengi sana ila kama ushawahi kugusa ile kitu unabaki unamuombea Mungu muathirika ajitambue one day aquit. Wanangu niliowawasha magar 90% bado...
Back
Top Bottom