Recent content by the 8th president

  1. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri Wa Nyerere unatimia

    Taifa lolote lile au jamii yoyote katika kuendelea na kustawi kwake si kwamba tu linahitaji viongozi makini bali pia raia makini.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi kanuni za TANU bado zinafanya kazi katika serikali ya sasa ya CCM?

    sijakuelewa mantiki yako mkuu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Polisi yawasaka wahariri wa gazeti la Mawio

    marahabaaaaaaaaaaaa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini ambao hatumuungi mkono rais Magufuli tunaonekana kuona mbali!

    Siku zote mtu anayezungumza huku anajishtukia ni mnafiki tu tena Unafiki wa kizamani kabisa.Hakuna serikali yoyote duniani inayoweza kuwaridhisha watu wote katika uendeshwaji wake. Maadili katika kazi yameshuka sana kwa maana hiyo approach ya sasa ya kusimamisha na kufukuza ni ipo katika muda...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii awasimamisha kazi Maofisa wa misitu

    Lazima waendane na kasi
  6. T

    JamiiForums Tanzania Na hiivi ndivyo Lowassa alivyowatumia CHADEMA bila wao kujijua

    Mabadiliko sio kuzungusha mikono,show us kwanza wewe umeshafanya nini ili tukupime unakwenda kufanya nini.katika katiba tu ya chadema hakuna ukomo wa uenyekiti halafu ndio chama cha demokrasia,je nchi utaweza kuiongoza kwa demokrasia?....kachunge ngombe monduli
  7. T

    JamiiForums Tanzania Na hiivi ndivyo Lowassa alivyowatumia CHADEMA bila wao kujijua

    Ukitafuta ukomo wa mtu katika nafasi ya uenyekiti unakesha kama siku za uumbaji na siku ya saba utapumzika na ndio itakuwa sabato yako.Mboweeeeeee
  8. T

    JamiiForums Tanzania Zitto: Rais Magufuli ameshaipotezea nchi mapato ya bilioni 8 tangu aingie madarakani

    Hakuna dhambi kubwa kama kumwamini mtu aliyelifilisi taifa kama lowassa.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Zitto: Rais Magufuli ameshaipotezea nchi mapato ya bilioni 8 tangu aingie madarakani

    Kama akili zako ni fupi mithili ya umeme wa luku huwezi kuona faida ya fukuza fukuza na ziara za kushtukiza.
  10. T

    JamiiForums Tanzania KASI YA RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI NI KWA WATUMISHI WA UMMA AU NA WA NASIASA?

    Wanasiasa ni watunga sera na watendaji ni watekelezaji,kwa maana hiyo uhusiano upo tena ni mkubwa tu.lakini pia tusichanganye siasa haiishii tu katika vyama vya siasa,hata cheo cha waziri au naibu wake ni dhamana ya kisiasa pia. Kuhusu rais kuwawajibisha wanasiasa ni kwamba lazima kwanza rais...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa halipwi Mshahara?

    Mimi pia napendekeza walipwe
  12. T

    JamiiForums Tanzania Na hiivi ndivyo Lowassa alivyowatumia CHADEMA bila wao kujijua

    I think CHADEMA chini ya Mbowe imeshindwa kusimamia misingi yake kabisa.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Zitto: Rais Magufuli ameshaipotezea nchi mapato ya bilioni 8 tangu aingie madarakani

    Amin amin nawaambia pinzani unakufa Tanzania,ni hakika na kweli.
  14. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtabadilika lini?

    Salaam,inabidi tufanye utafiti hasa katika jamii yetu ya kitanzania ili tufahamu vyema utashi wetu katika kupambanua mambo.Katika kuridhia kazi ambazo viongozi wetu wamezifanya kuna aina nne za watu 1.Watu wanaosifia kazi bila sababu za msingi. 2.Watu wanaosifia kazi kwa sababu za msingi. 3.Watu...
Back
Top Bottom