Hizo ahadi za mwana TANU zilitengenezwa na wazalendo halisi. Wakati huo ufisadi ulikuwa haujazaliwa, ndio maana ukizitazama zinaonekana kutofanana na viongozi wengi wa miaka ya karibuni wa nchi yetu. Zimeandikwa katika misingi ya utu, na ujumbe wake haujapitwa na wakati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.