Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Katika wanasiasa Nguri nina
o wakubali ni hayati Nyerere.
Moja ya nasaha zake aliwahi
sema ukiona mtu au chama
cha siasa kinabagua watu kwa
tofauti ya rangi; kabila;dini au hali yeyote ujue chama
hicho kimefilisika Sera na
Kinapaswa kuogopwa kama
UKOMA.
Sasa chama cha mapinduzi
Kimeonesha wazi ubaguzi huu
tena sio kwa kuficha Bali mbele
ya viongozi wao wakuu.
Hili sio la kufumbia mamacho
wadau kwani chama kinacho
jinasibu kuwa cha kidemokrasi
a halafu kinaleta ubaguzi kwa
RAIA wake ni hatari sana.
Burundi walianza hihivi taratibu
na madhara yake tunajua nini
kilitokea.
o wakubali ni hayati Nyerere.
Moja ya nasaha zake aliwahi
sema ukiona mtu au chama
cha siasa kinabagua watu kwa
tofauti ya rangi; kabila;dini au hali yeyote ujue chama
hicho kimefilisika Sera na
Kinapaswa kuogopwa kama
UKOMA.
Sasa chama cha mapinduzi
Kimeonesha wazi ubaguzi huu
tena sio kwa kuficha Bali mbele
ya viongozi wao wakuu.
Hili sio la kufumbia mamacho
wadau kwani chama kinacho
jinasibu kuwa cha kidemokrasi
a halafu kinaleta ubaguzi kwa
RAIA wake ni hatari sana.
Burundi walianza hihivi taratibu
na madhara yake tunajua nini
kilitokea.