Kwanini Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa halipwi Mshahara?

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,224
1,676
Wadau hivi ni kwanini Wenyeviti wa Serikali ya Mtaa hawalipwi mishahara, Wakati ndiyo wanaohudumia na kutatua matatizo ya Wananchi kwa ngazi ya kijiji \Mtaa?

*Nijuavyo;
Utawala wa Kijiji ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na utawala wa Kitongoji.

Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ni kupitia utawala huu ndiko ambako mambo mengi yanayoamuriwa au kupangwa na tawala za juu kama serikali, hutekelezwa.

Utawala wa kijiji huelekeza wananchi katika kutumia madaraka yao ya kidemokrasia kuamua juu ya mambo yanayowahusu kama wanakijiji moja kwa moja bila kupitia mlolongo au urasimu mrefu.

Mambo yanayohusiana na tawala za serikali za mitaa yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu.

*Je ni kwanini awa watendaji wa hawalipi mishahara?
 
Last edited by a moderator:
Wadau hivi ni kwanini Wenyeviti wa Serikali ya Mtaa hawalipwi mishahara, Wakati ndiyo wanaohudumia na kutatua matatizo ya Wananchi kwa ngazi ya kijiji \Mtaa?

*Nijuavyo;
Utawala wa Kijiji ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa nautawala wa Kitongoji. Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ni kupitia utawala huu ndiko ambako mambo mengi yanayoamuriwa au kupangwa na tawala za juu kama serikali, hutekelezwa. Utawala wa kijiji huelekeza wananchi katika kutumia madaraka yao ya kidemokrasia kuamua juu ya mambo yanayowahusu kama wanakijiji moja kwa moja bila kupitia mlolongo au urasimu mrefu. Mambo yanayohusiana na tawala za serikali za mitaa yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu.

*Je ni kwanini awa watendaji wa hawalipi mishahara?
Wanaolipwa ni watendaji wa vijiji/ mitaa ambao huwa wamesomea mambo hayo kwa kiwango si chini ya stashada. Wanaitwa VEO au WEO. Wenyeviti na madiwani si waajiriwa wa serikali. Ni wawakilishi tu wa wananchi na wanakazi zao. Sana sana hupewa posho ya vikao. Ndivyo hivyo ilivyokuwa kwa wabunge enzi za Mwalimu.
 
Wadau hivi ni kwanini Wenyeviti wa Serikali ya Mtaa hawalipwi mishahara, Wakati ndiyo wanaohudumia na kutatua matatizo ya Wananchi kwa ngazi ya kijiji \Mtaa?

*Nijuavyo;
Utawala wa Kijiji ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa nautawala wa Kitongoji. Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ni kupitia utawala huu ndiko ambako mambo mengi yanayoamuriwa au kupangwa na tawala za juu kama serikali, hutekelezwa. Utawala wa kijiji huelekeza wananchi katika kutumia madaraka yao ya kidemokrasia kuamua juu ya mambo yanayowahusu kama wanakijiji moja kwa moja bila kupitia mlolongo au urasimu mrefu. Mambo yanayohusiana na tawala za serikali za mitaa yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu.

*Je ni kwanini awa watendaji wa hawalipi mishahara?
Kama hawalipwi wanaishije?
 
mwenyekiti anapata pesa nyingi sana, swala la kuzoa taka magari kwenye mitaa anachukua pesa hapo, vibanda vya mama lishe anayo pesa yake, kwenye mabanda ya mikaaa anachukua pesa, kwenye bar pia anachukua, sehemu ya kulaza magari anachukua pesa pia, nyumba zikiuzwa au viwanja pia anapiga pesa, sehemu hzo zote anachukua, pia barua za utambulisho bank au kwenye mikopo lazima mtu atoe pesa, kwa makusanyo hayo ni zaidi ya mshahara
 
Unazungumzia wenyekiti wa serekali za mitaa wa wapi? Je hayo ni malipo halali. Kwa kweli kwa jinsi wenyeviti wa Mitaa wanavyofanyakazi wanastahili kulipwa. Kuna maeneo mengine hata hao watendaji wa Vijiji hawalipwi. Kisa hamna pesa halmashauri huku wao wanalipana posho. Naibu waziri TAMISEMI kwanza nakupongeza sana kwa jinsi unavyofanya kazi kisayansi. Pili shughulikia suala hili la stahili za Watendaji na wenyeviti wa Mitaa/ Vijhiji. Halafu piga marufjuku posho kwa watendaji na madiwani halmashauri mpaka hawa wawe wamelipwa mishahara kama short term plan halafu hawa wawekwe weknye payroll na walipwe na serekali kuu km watumihsi wa halmashauri.
 
Naunga mkono hoja, wenyeviti wa vijiji wanastahili kulipwa kwani kazi wanayofanya ni kubwa.
 
mwenyekiti anapata pesa nyingi sana, swala la kuzoa taka magari kwenye mitaa anachukua pesa hapo, vibanda vya mama lishe anayo pesa yake, kwenye mabanda ya mikaaa anachukua pesa, kwenye bar pia anachukua, sehemu ya kulaza magari anachukua pesa pia, nyumba zikiuzwa au viwanja pia anapiga pesa, sehemu hzo zote anachukua, pia barua za utambulisho bank au kwenye mikopo lazima mtu atoe pesa, kwa makusanyo hayo ni zaidi ya mshahara
Ungenyamaza tu, kwa mama ntilie, au kuzoa taka mwenyekiti anapataje mapato hapo? Au ulishakuwa mwenyekiti ukawa unatumia cheo hicho kunyanyasa wananchi kwa kujipatia kipato haramu kwa kulazimisha malipo?
 
Walipwe mshahara wa nini wakati wenyewe wanajilipa? Ukienda kugongewa muhuri unaacha buku, ukinunua kiwanja unakata fungu...
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Wadau hivi ni kwanini Wenyeviti wa Serikali ya Mtaa hawalipwi mishahara, Wakati ndiyo wanaohudumia na kutatua matatizo ya Wananchi kwa ngazi ya kijiji \Mtaa?

*Nijuavyo;

*Je ni kwanini awa watendaji wa hawalipi mishahara?
Hili jambo halijapata jibu?
Ndio nataka nigombee hapa kijijini
 
Unazungumzia wenyekiti wa serekali za mitaa wa wapi? Je hayo ni malipo halali. Kwa kweli kwa jinsi wenyeviti wa Mitaa wanavyofanyakazi wanastahili kulipwa. Kuna maeneo mengine hata hao watendaji wa Vijiji hawalipwi. Kisa hamna pesa halmashauri huku wao wanalipana posho. Naibu waziri TAMISEMI kwanza nakupongeza sana kwa jinsi unavyofanya kazi kisayansi. Pili shughulikia suala hili la stahili za Watendaji na wenyeviti wa Mitaa/ Vijhiji. Halafu piga marufjuku posho kwa watendaji na madiwani halmashauri mpaka hawa wawe wamelipwa mishahara kama short term plan halafu hawa wawekwe weknye payroll na walipwe na serekali kuu km watumihsi wa halmashauri.
Ushauri mzuri

Nataka nijitose kugombea
 
Ni kweli hawalipwi mshahara serikalini, ila kuna baadhi yao wanalipwa kulingana na mapato ya kijiji husika,gawio la kijiji la mapato linalorudi kutoka Halmashauri/serikalini...lkn hawalipwi kutokana na vijiji vyao kutokuwa na mapato yoyote...
 
Back
Top Bottom