Recent content by thatha

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema kuwa angekuwa serikalini wangeingia dili la siri na Laizer kuna kitu cha kujiifunza, lakini pia tumpongeze Rais Magufuli kwa uwazi

    Umiza kichwa kujua lema amesema mini, usitake kutafuniwa kila kitu, hizi akili mgando mpaka lini?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema kuwa angekuwa serikalini wangeingia dili la siri na Laizer kuna kitu cha kujiifunza, lakini pia tumpongeze Rais Magufuli kwa uwazi

    Wapinzani mbona mnapinga kila kitu? Tunajua kazi inafanyika ila tutaishije?- JK
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mtanzania apata mabilioni, Auza mfumo wa kununua Gesi kadri unavyotumia

    siyo mambomba ya gesi ndugu. Huyu alichogundua ni Mita, anakuletea Mtungi wa kilo 6, 15 au 30 nyumbani kwako ila huwezi kuutumia mpaka ulipie, unaweza kununua gesi ya 2000 katika mtungi huo ikiisha inakata hadi ununue tena, ni kama Luku.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mtanzania apata mabilioni, Auza mfumo wa kununua Gesi kadri unavyotumia

    Mtanzania Andron Mendes ameuza mfumo wa mita ya kulipia ya kulipia gesi ya kupikia kadri unavyotumia (PAYG) kwa Kampuni ya Circle gas ya Uingereza kwa Sh.57.6 bilioni ili isambazwe kwa nchi za Afrika. "Hakuna sababu ya kushikilia Teknolojia ambayo inapunguza matumizi ya Mkaa kwa sababu tu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa akiambatana na Mzee Mkapa aelekea Msumbiji kumwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Filpe Nyusi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameambatana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Wlliam Mkapa.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    Watu wengine sijui mnfikiri kwa.kutumia mini, kama.makubaliano yanatunufaisha tuyakatae kisa.wametengeneza.wao?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    Wazushi wote na wakae kimya sasa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    Utameza.tu, hiyo.ndiyo Tanzania ya Magufuli
  9. T

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo inataka kujijenga kisiasa kwa kuonewa huruma

    Wanataoatapa
  10. T

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

    Sheria inayowafunga ACT ni ya mwaka.huu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania imejaa raha, AFCON, usafiri wa anga, Elimu, madini,miundombinu...

    1.Ukienda Uwanja wa Taifa unakutana na Stars na Simba wamefuzu, Yanga nayo bado ni miongoni mwa Timu chache duniani zinazoongoza ligi za nchi zao; 2.Ukienda Stiglers kazi ya kuzalisha umeme megawati 2,115 imeanza; 3.Ukienda SGR kazi imefikia asilimia zaidi ya 45.Reli ya kisasa inatandikwa na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yakataa Mdhamini wa Lissu kujitoa kwenye kesi akidai hana mawasiliano na mshtakiwa

    Itabidi amtafute Lissu aje apambane na hali yake.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yakataa Mdhamini wa Lissu kujitoa kwenye kesi akidai hana mawasiliano na mshtakiwa

    Ushoga umekuathiri wewe, kila anayepost humu unafikiri ni demu mwenzako?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Baada Ya Seif Kuhamia ACT-Wazalendo, Wameanza Kutembeza Bakuli, Nini Maana Yake

    Hapa hakuna kitu zaidi ya Zitto kutaka pa kutokea
Back
Top Bottom