Tanzania imejaa raha, AFCON, usafiri wa anga, Elimu, madini,miundombinu...

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
Na Emmanuel J. Shilatu

1. Ukimulika idara ya michezo unaiona Taifa Stars ikifuzu AFCON Mwaka huu tangu mara ya mwisho 1980; Kule bondia Mwakinyo akiwakilisha vyema kwenye masumbwi.

2. Ukitazama angani unaona ndege 6 ikiwemo ya Dreamliner ikikata mawimbi nchini na anga za Kimataifa zikiongeza Watalii nchini, zikiimarisha usafiri wa anga na kuongeza mapato.

3. Ukienda sekta ya Elimu unakutana Tanzania ya Leo inatoa Elimu bure kuanzia Shule ya msingi Hadi Sekondari. Pia ikitoa mikopo kwa kiwango kikubwa na idadi kubwa ya wanufaika kwa Wanazuoni.

4. Ukienda sekta ya madini unakutana na mikataba mipya ya madini yenye tija kwa Taifa, Mererani unakutana na ukuta unaozuia madini yetu kuibwa. Siku hizi raha hata mchanga wa madini hausafirishwi tena nje ya nchi.

5. Ukienda sekta ya usafirishaji unakutana na ujenzi wa reli ya kisasa SGR ambapo Watanzania wataokoa rasilimali muda na fedha kwa treni hii ya umeme.

6. Ukienda sekta ya miundombinu utakutana na daraja la Tazara likitumika, daraja la Ubungo na la Surrender yakijengwa; Usichoke nenda ukaone barabara ya kutoka Morocco mpaka Mwenge yenye njia 6 ikitumika huku ya Ubungo ikiendelea ujenzi wa njia 6. Hapo sijayataja madaraja ya Furahisha, ya Kilombero n.k yakiwa yamekamilika.

7. Ukienda Dodoma utajionea mwenyewe Serikali ilivyohamia Dodoma. Siku hizi Dar imebaki kuwa jiji la kibiashara.

8. Ukienda sekta ya umeme utakutana na miradi mikubwa ya Kinyerezi K-1 extension na KII ikitumika. Usisahau kutazama mto Rufiji kuna ujenzi wa Stiglers utakaozalisha Megawats zaidi ya 2100.

9. Ukienda sekta ya afya utakutana na majengo ya kisasa, wahudumu, dawa na vifaa tiba vya kisasa kabisa. Siku hizi hauhitaji kwenda nje kutibiwa kwani operation kubwa za afya zinafanyika hapa hapa nchini.

10. Kwenye sekta ya uchumi napo tupo vizuri, kwa wale wanaojituma kufanya Kazi watakubliana nami kuwa Kodi nyingi sumbufu na kero zimefutwa; Uchumi Sasa unakuwa kwa wastani wa 7.2 ; Ujenzi wa miundombinu ya reli, barabara, madaraja unaiweka Tanzania kwenye nafasi nzuri ya ukuaji na uimarikaji wa uchumi wetu zaidi kwa siku zaidi.

11. Ukienda sekta ya Watumishi, siku hizi kuna nidhamu na uwajibikaji wa hali ya juu. Hali hiyo imesababisha kiwango cha rushwa na ufisadi kipungue sana nchini.

12. Ukienda popote pale nchini unakutana na Tanzania ya Viwanda ambapo sasa vipo zaidi ya 3000 nchini. Pia ukikatiza Geita utakutana na soko la kwanza la madini ya dhahabu Tanzania na la tatu Afrika. Hii Ndio Tanzania mpya na ya mfano.

*Shilatu E.J*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwaangalia waajiriwa wa Serikali mwaka wa nne hawana nyongeza ya mishahara.

Wakulima wa korosho wamedhulumiwa zaidi ya bilioni 300 zao.

Maalim kaporwa chama na ccm kisha kukabidhiwa Propesa.

Graduates hawana ajira.

Katiba, mahakama, bunge vyote vinadharauliwa.

Trillions zinachotwa hazina bila idhini ya Bunge.

Lissu kashambuliwa, Saanane kapotea mwaka wa tatu huu, Azory kapotea, miili ya wafu inaokotwa ufukweni lakini hakuna UCHUNGUZI.

1.5 trillions imepotea hazina hakuna UCHUNGUZI.

CAG anatishwa na kudhalilishwa kwa kusema ukweli kwamba Bunge ni DHAIFU!
 
Anasoma lakini?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Orodha ya burudani ni ndefu. Ukienda ktk siasa unakutana na mbuge wa upinzani kupigwa risasi kuliko mnyama au jambazi sugu.

Viongozi wengine kuwekwa mahabusu bila sababu kwa miezi kadha kwa uonevu tu.

Wengine wengi wao kufunguliwa lundo la kesi ili kuwadhoofisha kiutendaji na kisiasa.

Viongozi wengine kutoweshwa na kutokomea kbs na hawajulikani walipo zote hizo ni burudani.

Serikali kutenga fungu kununua wabunge wa upinzani ni biashara kharamu lakini ni burudani kwao, iwe ni pesa au vitisho vyote ni burudani kwenu.

Ktk vyombo vya habari unakutana na vyombo mbalimbali vya habari hasa magazeti yanayokosoa serikali kufungiwa na waandishi wake wengine kutoweka ktk mazingira tatanishi na wengine kukimbia Inchi na kutelekeza familia zao.

Yani ni burudani, watu kubomolewa nyumba zao bila fidia wengine kufa na wengine kugeuka ombaomba kutoka kutegemewa.

Huko Ntwara korosho zimerudi mashambani yani mtoto aliezaliwa amegeuka kuwa mimba tena.

Wanaambiwa hii mimba bado changa. Yani raha tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Emmanuel J. Shilatu

1. Ukimulika idara ya michezo unaiona Taifa Stars ikifuzu AFCON Mwaka huu tangu mara ya mwisho 1980; Kule bondia Mwakinyo akiwakilisha vyema kwenye masumbwi.

2. Ukitazama angani unaona ndege 6 ikiwemo ya Dreamliner ikikata mawimbi nchini na anga za Kimataifa zikiongeza Watalii nchini, zikiimarisha usafiri wa anga na kuongeza mapato.

3. Ukienda sekta ya Elimu unakutana Tanzania ya Leo inatoa Elimu bure kuanzia Shule ya msingi Hadi Sekondari. Pia ikitoa mikopo kwa kiwango kikubwa na idadi kubwa ya wanufaika kwa Wanazuoni.

4. Ukienda sekta ya madini unakutana na mikataba mipya ya madini yenye tija kwa Taifa, Mererani unakutana na ukuta unaozuia madini yetu kuibwa. Siku hizi raha hata mchanga wa madini hausafirishwi tena nje ya nchi.

5. Ukienda sekta ya usafirishaji unakutana na ujenzi wa reli ya kisasa SGR ambapo Watanzania wataokoa rasilimali muda na fedha kwa treni hii ya umeme.

6. Ukienda sekta ya miundombinu utakutana na daraja la Tazara likitumika, daraja la Ubungo na la Surrender yakijengwa; Usichoke nenda ukaone barabara ya kutoka Morocco mpaka Mwenge yenye njia 6 ikitumika huku ya Ubungo ikiendelea ujenzi wa njia 6. Hapo sijayataja madaraja ya Furahisha, ya Kilombero n.k yakiwa yamekamilika.

7. Ukienda Dodoma utajionea mwenyewe Serikali ilivyohamia Dodoma. Siku hizi Dar imebaki kuwa jiji la kibiashara.

8. Ukienda sekta ya umeme utakutana na miradi mikubwa ya Kinyerezi K-1 extension na KII ikitumika. Usisahau kutazama mto Rufiji kuna ujenzi wa Stiglers utakaozalisha Megawats zaidi ya 2100.

9. Ukienda sekta ya afya utakutana na majengo ya kisasa, wahudumu, dawa na vifaa tiba vya kisasa kabisa. Siku hizi hauhitaji kwenda nje kutibiwa kwani operation kubwa za afya zinafanyika hapa hapa nchini.

10. Kwenye sekta ya uchumi napo tupo vizuri, kwa wale wanaojituma kufanya Kazi watakubliana nami kuwa Kodi nyingi sumbufu na kero zimefutwa; Uchumi Sasa unakuwa kwa wastani wa 7.2 ; Ujenzi wa miundombinu ya reli, barabara, madaraja unaiweka Tanzania kwenye nafasi nzuri ya ukuaji na uimarikaji wa uchumi wetu zaidi kwa siku zaidi.

11. Ukienda sekta ya Watumishi, siku hizi kuna nidhamu na uwajibikaji wa hali ya juu. Hali hiyo imesababisha kiwango cha rushwa na ufisadi kipungue sana nchini.

12. Ukienda popote pale nchini unakutana na Tanzania ya Viwanda ambapo sasa vipo zaidi ya 3000 nchini. Pia ukikatiza Geita utakutana na soko la kwanza la madini ya dhahabu Tanzania na la tatu Afrika. Hii Ndio Tanzania mpya na ya mfano.

*Shilatu E.J*

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1553414449021.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada anafikiri ameleta bonge la uzi! kumbe ni upuuzi tu. Sasa hayo mavitu yenu mnayojisifia mmetumia hela zenu za lumumba au ni kodi zetu mnazotutoza kilazima kila siku!
 
Kwa upande wa upinzani, viongozi wake hayo wanayaona na kuyabeza, ati wanadai majukwaa ya siasa ili wayatumie kupandikiza chuki kati ya wapiga kura na Serikali, wakiamini ndiyo mtaji wao wa kuingia Ikulu.

Wafuasi wa viongozi wa upizani, wamelishwa matango pori, akili zao zikavurugika, kiasi kwamba wamebaki kutumia mitandao ya kijamii kama majukwaa ya matusi, kebehi, malalamishi, shutuma, uzushi na uongo wa kitoto.

Lakini ukweli unabaki kuwa mioyo yao imejaa furaha kwa jinsi Tanzania inavyobadirika kuwa nchi yenye matumaini.

WATASHINDANA KAMWE HAWATASHINDA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Emmanuel J. Shilatu

1. Ukimulika idara ya michezo unaiona Taifa Stars ikifuzu AFCON Mwaka huu tangu mara ya mwisho 1980; Kule bondia Mwakinyo akiwakilisha vyema kwenye masumbwi.

2. Ukitazama angani unaona ndege 6 ikiwemo ya Dreamliner ikikata mawimbi nchini na anga za Kimataifa zikiongeza Watalii nchini, zikiimarisha usafiri wa anga na kuongeza mapato.

3. Ukienda sekta ya Elimu unakutana Tanzania ya Leo inatoa Elimu bure kuanzia Shule ya msingi Hadi Sekondari. Pia ikitoa mikopo kwa kiwango kikubwa na idadi kubwa ya wanufaika kwa Wanazuoni.

4. Ukienda sekta ya madini unakutana na mikataba mipya ya madini yenye tija kwa Taifa, Mererani unakutana na ukuta unaozuia madini yetu kuibwa. Siku hizi raha hata mchanga wa madini hausafirishwi tena nje ya nchi.

5. Ukienda sekta ya usafirishaji unakutana na ujenzi wa reli ya kisasa SGR ambapo Watanzania wataokoa rasilimali muda na fedha kwa treni hii ya umeme.

6. Ukienda sekta ya miundombinu utakutana na daraja la Tazara likitumika, daraja la Ubungo na la Surrender yakijengwa; Usichoke nenda ukaone barabara ya kutoka Morocco mpaka Mwenge yenye njia 6 ikitumika huku ya Ubungo ikiendelea ujenzi wa njia 6. Hapo sijayataja madaraja ya Furahisha, ya Kilombero n.k yakiwa yamekamilika.

7. Ukienda Dodoma utajionea mwenyewe Serikali ilivyohamia Dodoma. Siku hizi Dar imebaki kuwa jiji la kibiashara.

8. Ukienda sekta ya umeme utakutana na miradi mikubwa ya Kinyerezi K-1 extension na KII ikitumika. Usisahau kutazama mto Rufiji kuna ujenzi wa Stiglers utakaozalisha Megawats zaidi ya 2100.

9. Ukienda sekta ya afya utakutana na majengo ya kisasa, wahudumu, dawa na vifaa tiba vya kisasa kabisa. Siku hizi hauhitaji kwenda nje kutibiwa kwani operation kubwa za afya zinafanyika hapa hapa nchini.

10. Kwenye sekta ya uchumi napo tupo vizuri, kwa wale wanaojituma kufanya Kazi watakubliana nami kuwa Kodi nyingi sumbufu na kero zimefutwa; Uchumi Sasa unakuwa kwa wastani wa 7.2 ; Ujenzi wa miundombinu ya reli, barabara, madaraja unaiweka Tanzania kwenye nafasi nzuri ya ukuaji na uimarikaji wa uchumi wetu zaidi kwa siku zaidi.

11. Ukienda sekta ya Watumishi, siku hizi kuna nidhamu na uwajibikaji wa hali ya juu. Hali hiyo imesababisha kiwango cha rushwa na ufisadi kipungue sana nchini.

12. Ukienda popote pale nchini unakutana na Tanzania ya Viwanda ambapo sasa vipo zaidi ya 3000 nchini. Pia ukikatiza Geita utakutana na soko la kwanza la madini ya dhahabu Tanzania na la tatu Afrika. Hii Ndio Tanzania mpya na ya mfano.

*Shilatu E.J*

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ushamba na kupewa elimu duni ndo tatizo lako kuu.pole Sana
 
ACT-Wazalendo wamekataliwa kufanya mikutano Zanzibar, vile vile kiko hatarini kufutwa..

TANZANIA KWELI KUNA RAHA..
 
1.Ukienda Uwanja wa Taifa unakutana na Stars na Simba wamefuzu, Yanga nayo bado ni miongoni mwa Timu chache duniani zinazoongoza ligi za nchi zao;

2.Ukienda Stiglers kazi ya kuzalisha umeme megawati 2,115 imeanza;

3.Ukienda SGR kazi imefikia asilimia zaidi ya 45.Reli ya kisasa inatandikwa na mwaka huu Dar mpaka Moro itakuwa ni Dak. 90 tu;

4.Ukienda Airport unakuta literminal Three limeanza kung'ara lakini ndege zetu mpya sita za ATC zinapishana tu angani;

5.Ukienda Kinyerezi utakutana na ukamilishaji wa miradi mikubwa ya umeme wa gesi K-1 extension na KII ikiwa inakamilika sasa;

6.Toka hapo nenda Tazara utakuta tayari liflyover liko safi, huku ya Ubungo kazi ikiwa imeanza;

7.Ukishatoka Ubungo wahi Kimara utakuta ujenzi wa njia 6 za barabara unaendelea;

8.Natoka Taifa napita Barack Obama Road nakutana na ujenzi wa Daraja la Selander/Tanzanite umeanza;

9.Naona Dar imenichosha naenda Mwanza nakuta barabara ya kwenda Airport ikiwa imepanuliwa na kuwa ya kisasa na zaidi nashangashangaa pale kwenye daraja la waenda kwa miguu Furahisha jinsi lilivyopendeza hasa taa zake usiku;

10.Natoka Mwanza lakini kabla ya kufika Geita nakutana na kivuko kipya pale Kigongo-Busisi lakini nako naambiwa tenda ya ujenzi wa daraja la zaidi ya km 3 imetangazwa na litajengwa soon;

11.Navuka na kuingia Geita nakutana na ujenzi mkubwa wa barabara na uwekaji taa za barabarani na zaidi kukamilika kwa soko la kwanza la madini ya dhahabu Tanzania na la tatu Africa lililojengwa kwa kiasi kikubwa na fedha za CSR ambazo awali makampuni ya madini walikuwa hawalipi sasa baada ya JPM kuwabana wanalipa;

12.Napita Geita, Kagera, Kigoma, Tabora, Shinyanga, Singida hadi Dodoma na kushangazwa na jinsi miradi mbalimbali ya afya, umeme, maji na elimu inavyotekelezwa kwa kasi na ubora;

13.Nikiwa Dodoma nashangazwa na maandalizi na/au ujenzi kamili unaoendelea wa ofisi za wizara Ihumwa, miundombinu kama masoko, stendi, barabara, upanuzi wa vifaa Hospitali ya Benjamin Mkapa hadi nafika mahali palipoandaliwa kujengwa moja ya viwanja vikubwa vya soka duniani mjini Dodoma;

14.Labda nimalize, nisikuchoshe, nachukua Bombardier hadi mikoa miwili hivi, naachana na BOmbardier naenda mkoa wa tatu kwa Airbus nashangazwa na hili; yaani mwaka huu 2019 Rais JPM katoa TZS Bilioni 1.5 kwa wilaya 67 ili zianze kujenga hospitali za wilaya!Angalia tangu uhuru tuna hospitali za wilaya 77 tu.

Lakini mwaka huu 2019 pekee wilaya hizo 67 zitakamilisha hospitali zao za kisasa kabisa ili kuwahudumia wananchi.

_Dah Kweli Huu Ni Mwaka wetu_
 
Back
Top Bottom