Waziri Mkuu Majaliwa akiambatana na Mzee Mkapa aelekea Msumbiji kumwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Filpe Nyusi

Lowassa na Sumaye mbona hamjawajumlisha kwenye hiyo safari? Maana walikuwa wamemisi sana hizo hafla baada ya kwenda kutafuta madaraka kupitia cdm. Hata mimi siungi mkono rais kwenda safari kama hizi maana hazina tija, ila yeye hata zenye tija huwa haendi.
Chadema mna Roho mbaya pamoja na Lowasa kuwapa mabilioni na sumaye kuwachangia mabilioni na kuwajengea Ofisi nzuri ya Kanda ya Pwani haijawahi wapa hata kasafiri ka kinafiki tu ka Siku mbili nje ya nchi walau wapumzike kidogo baada ya heka heka za uchaguzi.

Mumekula hela zao mkawatema Kama mbwa
 
Hamna lolote, hao wazee walikuja cdm kutakatisha pesa chafu. Wapewe hizo safari huko ccm maana wao wanaingia hazina na kuchota watakavyo.
 
Hamna lolote, hao wazee walikuja cdm kutakatisha pesa chafu. Wapewe hizo safari huko ccm maana wao wanaingia hazina na kuchota watakavyo.
Nakala ya haya imfikie Sumaye na Lowasa na Nyalandu
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameambatana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Wlliam Mkapa.

WhatsApp Image 2020-01-15 at 14.35.11.jpeg
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameondoka Tanzania kueleka Msumbiji kumwakilisha Rais Magufuli katika sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nchi hiyo Filipe Nyusi.

Waziri Mkuu ameongozana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Filipe Nyusi anaapishwa leo Jumatano.

Rais Nyusi alitangazwa mshindi wa uchaguzi kwa kupata 73% ya kura, huku Chama chake cha FRELIMO kikiwa na 74% ya viti Bungeni kufuatia uchaguzi wa Oktober 15 mwaka jana.

Mhe:Rais Yupo Busy Kujenga Nchi Hana Muda Na Kukwea Mapipa View attachment 1323969

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mkapa amekwenda nyumbani kwao sio mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom