As long as tumekombolewa tangu march 17 mwaka huu, naamini kila kitu kitaenda saw a chini ya mama Samia.
Wawe watulivu mama si katili kama mwendazake, atarekebisha hilo suala.
Ndugu mwandishi,
Asante sana kwa kunitonesha kidonga kibichi kabisa japo naamini ni kwa lengo zuri.
Siku ya NNE Leo nmelala ndani siamini matumizi nilofanya kati ya ijumaa na jumamosi.
NIMEACHA POMBE RASMI.
Waliaminishwa na mwendazake kwamba sisi kama nchi ni dona kantri.
Ilifika wakati wakaamini kwamba sisi ni sawa na marekani tu
Hakika, UJINGA ni kipaji kama ilivyo kuimba kwaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.