Recent content by thadeo Amani

  1. thadeo Amani

    Sakata la Morrison: Yanga yaishtaki Simba TFF na kutaka haki itendeke

    Sijaona kama kuna umuhimu hapo, wanataka kumzibia riziki huyoo morrison hao utopolo fc....
  2. thadeo Amani

    Jifunze kukaa kimya

    Exactly... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. thadeo Amani

    Mr Bean na maajabu yake

    Ulipendezwa na hiyo video-clip ukadhani ni real jamaa yetu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. thadeo Amani

    JamiiForums Usiku wa manane

    Bado mmelalwaaa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. thadeo Amani

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mada gani inaendelee wapendwa... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. thadeo Amani

    Wenye wake msipite bila kusoma uzi huu

    Vitu vingine muangalie CIO ukifanya utafiti wako unatoa na amri ooh vyeti mala CCTV caml mmh!!! Biashara nyingi ziko hivyo kufa kufaana....mie pia ninawazo LA kujenga"guesthouse" nisubir wazinifu nikusanye....
  7. thadeo Amani

    Chuoni sijawahi Pata SUP, Huku mtaani Kuna kanuni gani? Nipeni kanuni za pesa

    Tafuta mtaji ununue jokofu then tafuta kijana anza kutengeneza barafu MPE akakusanye mapesa na utafurahi sana mkuu
  8. thadeo Amani

    Tuliowahi kupambana na vichaa tuelezane ilikuwaje!

    Watu wazima njooni mtupe majibu pliiizi!!
  9. thadeo Amani

    Tuliowahi kupambana na vichaa tuelezane ilikuwaje!

    Nooo rafiki!! Soma vizur unielewe mwishoni nimeweka swali hapo.. Hahahaha et umemtamani chizi daa umenifurahisha
  10. thadeo Amani

    Tuliowahi kupambana na vichaa tuelezane ilikuwaje!

    Daah! Mada ya Leo imenigusa haswaa wapendwa...mie Nina ofisi yangu yaani duka la vitu mchanganyiko rugha nyepesi 'takataka kuna chizi hapa kijijn kwetu nilimkuta tangu nakuja hadi sasa mashaallh huyo chizi kila siku asubuhi lazima aje hapo ofisini kunisalimu yaani daily!!! Vipi hapo kuna...
  11. thadeo Amani

    Jifunze kwenye story hii.

    Ni kama hadithi lakini ukilifanyia kazi ni wazo zuri sana na lenye ukweli ndani yake..
  12. thadeo Amani

    Kuhusu Biashara ya bia za jumla

    Mie cijaelewa hapo unachouliza , je unataka kujua kuhusu mtaji unaohitajika au Faida ya hiyo biashara? Kiukweli kama eneo ulilopo linauhiyaji wa hiyo k2 inalipa.
  13. thadeo Amani

    Hakika kilimo na ufugaji ndo mpango mzima .. .

    Wazo lako zuri, but mazao yakulima yako mengi lakini je! Kilimo gani kati hiv kinalipa? Migomba, tikiti maji, mbogamboga, miwa.
Back
Top Bottom