Habari wanajamii,
Naomba msaada wa ushauri na uzoefu wenu. Niko kwenye hatua za awali za kupanga kufungua mini supermarket/mart ndani ya mji, lakini kabla sijaanza rasmi ningependa kupata taarifa sahihi kutoka kwa waliowahi au wanaoendesha biashara hii.
Naomba kusaidiwa kujua mambo yafuatayo...
Habari naomba ushauri ni microwave oven ipi nzuri kuchoma nyama, kuku na samaki ambayo ni durable na yenye bajeti isiyozidi laki nne brand iwe yoyote ila Hisense itapendeza zaidi
Ninaandika haya malalamiko kuhusu huduma ya uondoaji wa mizigo inayotolewa na SPEEDAF Tanzania. Kila siku, wateja wanakutana na changamoto kubwa katika mchakato wa kufanya clearance ya mizigo. Hali hii inasababisha usumbufu mkubwa kwa biashara zetu na inaathiri uchumi wetu kwa ujumla.
Kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.