Recent content by Tha real voice

  1. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    nenda hospital mkuu ayo mambo ya sehemu za siri yanakuaga na differential nyingi sana!! unaeza kuta sio fungus ni kitu kingine
  2. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

    hahahahahahahaaa.... kaona hadhira mnazingua zingua anawashushia tu ma episode halafu hela ata ya maziwa hamtumi!! ndo mana kaamua kuwachinjia baharini halafu kamute kimyaaaaa!! Ila lara 1 sio vizuri ivo ujue.... Am so bad with compliments but your stories turn grey to white because they are...
  3. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

    kuibiana kipindi kama hiki sio fresh kabisa
  4. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

  5. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Burnley so watu wazuri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia hisia za mapenzi

    pole sana
  7. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Hivi bikra zimeenda wapi?

    zimeenda zimbabwe
  8. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanapenda kuoa wanawake wenye sura na maumbo mabaya?

    hakuna connection kati ya sura na ndoa
  9. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kaswende ni ipi?

    aende hospitali akapime kwanza ili waconfirm kama ni kaswende kweli then kama ndo yenyewe akipewa single dose ya benzathine penicillin injection inatosha sana kuimprove kama hiyo kaswende itakua ya mwanzo(primary).
  10. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Anayejua namna ya kununua views jf

    hahahahahahahaa... aseeehh!! sasa view zinakusaidia nini?
  11. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania What's your favorite Movie Line or Quote?

    "if you want something to stand, you have to risk letting it fall"... legend of the seeker.
  12. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kanifarakanisha na bebi wangu anataka aniache

    hapo umetoa maelezo tu hata hujambembeleza
  13. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Ukimfumania mkeo analiwa live usimpige, muadhibu kwa namna hii atateseka mno na kujuta

    amini amini nawaambieni, mkioa wanawake wenye hofu ya kweli na mungu; hakika haya yote hayatokea
  14. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Machalii wa Arusha hawako Romantic kabisa

    mimi siwazungumzii machalii wa chuga nawazungumzia mademu wa chuga.... aseehh mademu wa chuga ni noma!! yani juzi nimechukua namba za mademu kama wanne hivi wa sehemu tofauti tofauti hata hawajuani ili niwatongoze halafu nisubir nani ataingia line wa kwanza ili niboreshe, sasa wakati najiandaa...
  15. Tha real voice

    JamiiForums Tanzania Siri ya mapenzi!

    ni kweli kabisa hakuna mwanaume mjinga ila wanawake warahisi wapo wengi sana ukiwa na hela za kuwahonga
Back
Top Bottom