Siri ya mapenzi!

Siri ya mapenzi!

Kuna jamaa nilimweleza Mimi akanitukana

Sasa akawa anamfukuzia demu mmoja anampenda ile noma aliponiambia nkamwambia yule ananitongoza mie sipendi tu kumhalibia jamaa kasema siwezi KBS maana yy kidume na nyimbo zake anakama miez 6hiv anazungushwa nkamwambia ngoja bas Leo nimwite nimgonge kwa sabb ya ubishi wako nkamwambia nipe kbs ufunguo wa geto lako nkamtafunie humo akasema poa we anko una maneno tu vitendo ziro

Nikaita mchana nkammanga binti kwenda kuoga nkamwita ile anaingia tu kukaa demu anaingia na kanga toka bafuni nkamtambulisha na kumwambia nipishe kidogo basi jamaa hakuwa na ham

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli kabisa hakuna mwanaume mjinga ila wanawake warahisi wapo wengi sana ukiwa na hela za kuwahonga
 
"Hakuna mwanamke mrahisi na hakuna mwanaume mjinga", mwanamke uliyekuwa ukimfatilia miezi 12 bila mafanikio ya kumpata,amelala na mwanaume mwingine baada ya kufahamiana nae ndani ya siku tatu,mwanamke uliyempata ndani ya wiki na ukalala nae amekuwa akifuatiliwa na mwanaume mwingine zaidi ya miezi 18 bílá mafanikio,usije ukasimama mbele za watu ukasema yule mwanamke ni mrahisi,kama amekukubali na amekupenda unatakiwa uheshimu penzi lake,wanawake mnatakiwa mjue mwanaume akikununulia iphone kwa sababu anakupenda usije ukafikiri ni mjinga,inawezekana hajawahi kumnunulia hata rangi ya kucha mpenzi wake wa zamani,usichukulie mzaa mapenzi yake kwako,unatakiwa ujue wewe ni mwanamke mwenye bahati sana,ukifanya mzaa unaweza usimpate tena mwanaume wa aina hiyo maishani mwako.ukimuona mwenzio wa nini wenzio wanawaza watampata lini,jifunzeni kuwa thamini wapenzi wenu!

Nawatakieni siku njema!

Sent using Jamii Forums mobile app
Fact 100%
 
Cku njema pia kaka, umeongea vema sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIWEZI KUPINGA HILI, KUNA JAMAA ALIKUWA ANAMFUKUZIA MWANAMKE KWA MIAKA 6 NA AKAAMBULIA PATUPU, ILA MIMI NILIMUAPROACH SIKU YA KWANZA, YA PILI AKAKUBALI MWISHO WA WIKI NIKALALA NAYE TENA SIKU 3 MFULULIZO. NILISHANGAA, JAMAA ALIVYOSIKIA ALILIA SANA.

YULE BINTI ALINIPENDA KUPITA KIASI NA ALIKUWA MWAMINIFU MNO, WANAUME WENG WALIMFUKUZIA LAKN HAWAKUFUA DAFU

MIMI NILIMBWAGA MANA NILIMWONA KAMA MAHARAGWE YA MBEYA.

SASA KAOLEWA BAS ROHO INANIUMA NA SJAWAH KUPATA TENA MWANAMKE MWENYE MAPENZ YA DHATI NA ANAYEJTAMBUA KAMA YULE.

BAS TANGU AOLEWE CM ZANGU HAPOKEI, NA MSG HAJIBU.. AMENIPOTEZEA BAADA YA KUPUUZA HCIA ZAKE..

Kiukweli si kila mwanamke anayekukubali haraka ni mrahisi, wengne wanakuwa wamezimikia hvyo hawataki kupoteza chance.
 
Ni kweli kabisa mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom