Safari hii kama ndo hivyo tutatumia mpaka uume maana nao una mistari tofauti na mwingine kama vidole vinakataa vyote na lazima usajili kwa njia ya alama ya kidole utafanyaje sasa ukose mawasiliano ama?
Nisadieni ngoma moja ameshilikishwa steve kabuye inaitwa TANGAZO nahisi kama na bandago yumo nyingine jina nimesahau na muimbaji nimemsahau kiitikio kinasema "wacha part wee ngoma lipigwe watu wacheze wacha part iendelee"
Uzi huu kama ingewezekana ufutwe haraka sana unataka kuanzisha chuki na kuchochea ubaguzi ambao gharama yake ni kubwa umetofautiana nn mawazo yako na hicho kilicho fanyika huko south mtu tu anatoka huko kavimbiwa makande unaanza kuchochea chuki dhidi ya wageni nini maana yake
"Kwankaja" dondosha hizi plz kama zitapatikana
1.Zote za unique sisters
2.dudubaya ft stara thomas SIKUTAKA
3.nyama ni nyama kicheche utamaliza bucha sikumbuki ni nani
4.Bwana misosi ft redsun HESHIMA
5.Dk John PANKI STAILI
6.soggy dog USINGIZI
7.soggy dog ANADADO
"Kwankaja" mie naombaga ngoma hizi hapa tu nikizipata ntashukuru sana mpaka leo sijazipata
1.starehe gharama ya L.W.P MAJITU
2.Najitoa mhanga ya LUTEN KALAMA
3. Mshenga ya BANZA STONEft MANDOJO&DOMO KAYA
4.Mkao wa kula TMK MANYIGU
Nahisi ni sadat wa waswahili wimbo moja ya mashairi yaliyomo ni kama hawachekani wenye chongo na mwenye jicho bovu, hauonekani uchawi barabarani,hawachekani punguani na kichaa nafikili ni huo ama?
Mimi niliwaza kwamba kwanini hii kitu ikose patina wakati palipo na dume lazima na jike iwepo wakati huo huo hiyo dume yake tu siijui inakuwagaje labda kwa walio kumbana nayo wanaweza kuielezea inakuaje. Basi ndo hivyo tu jina likawa Tezi jike basi sasa siijui inafananaje ila tu kina mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.