Recent content by TexasR

  1. TexasR

    JamiiForums Tanzania LEONARDO DA VINCI: Miongoni mwa wanadamu wachache unaopaswa kuwafahamu

    kwangu ni Tesla,
  2. TexasR

    JamiiForums Tanzania Mnara wa Babeli na historia ya kutisha

    si kama safina ilikuja kusafisha waovu,kwa sababu ili umalize uovu duniani Inabidi umuondoe shetani...na gharika halikumuondoa shetani..
  3. TexasR

    JamiiForums Tanzania Mnara wa Babeli na historia ya kutisha

    sawa mkuu
  4. TexasR

    JamiiForums Tanzania Mnara wa Babeli na historia ya kutisha

    Historia ya mnara wa Babeli inaelezwa kwa undani kwenye biblia katika kitabu cha Mwanzo 11 katika mistari michache tu. Hii ni stori fupi tu ya mnara wa Babeli unaweza kusoma kwa undani katika mistari au maandiko hapo chini ili kujua zaidi juu ya Babeli na maana yake katika biblia. Kizazi cha...
  5. TexasR

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ufalme wa Babeli

    ingia tzworships.blogspot.com utapata habari za ufalme wa baberi na mengine mengi
  6. TexasR

    JamiiForums Tanzania The devil’s bible (the codex gigas)

    yeah this week ndugu
  7. TexasR

    JamiiForums Tanzania The devil’s bible (the codex gigas)

    CODEX GIGAS au kwa kiswahili (kitabu kikubwa),ndio kitabu kikubwa Zaidi kuwahi kuandikwa duniani tangu medieval periods ( karne za kumi kumi).The codex Gigas kina ukubwa wa (urefu sm 92, upana sm 22) na uzito wa kilogramu 75.Kitabu hichi pia kinaitwa “Devil’s bible” au biblia ya shetani kutokana...
  8. TexasR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    if this is what we call erectile dysfunction then ni ishu pana kidogo...erectile dysfunction ni kushindwa kumaintain kusimama kwa uume kwa muda mrefu especial muda wa kujamiiana or ni uume kufeli kusimama kabisa ..definition zote mbili hapo zinaelezea hiyo dysfunction.. hii dysfunction...
  9. TexasR

    JamiiForums Tanzania Wadau naandika haya kwa sababu sijui kinachoendelea TRA

    Nawasalimu ndugu zangu,naomba kuuliza kwa wanaojua kinachoendelea TRA juu ya ukataji wa leseni,mimi nimekata leseni yangu tangu mwezi wa kumi mwaka jana lakini mpaka leo sijaoata na napigwa viswahili mwara mashine zinasumbua,mara matirio yameisha nashindwa kuelewa kama hoja hizi ni nzito kwa...
  10. TexasR

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kufika Matema beach

    mhhhhhhhhh....matema beach mi nilikuwa najua ni basi la kwenda mbeya la zaman pamoja na masia
  11. TexasR

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha flat Tv (SINGSUNG)

    LCD
  12. TexasR

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Ariel sharon toka 2006 alipozimia bado hajazinduka?

    acha uongo wewe,ashakufa mda tu.. After spending eight years in a coma, Sharon died at 14:00 local time (12:00 UTC) on January 11, 2014.[113][114] Sharon's state funeral was held on January 13 in accordance with Jewish burial customs,
  13. TexasR

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha flat Tv (SINGSUNG)

    Habari wadau, Kama kuna mtu ana kioo cha tv ya flat singsung inch 21 tuonane, Nipo Dar es Salaam.
  14. TexasR

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu kuendesha gari ukiwa na provisional driving licence

    ahsante sana mkuu
Back
Top Bottom