Ukiona hivyo ujue kaletewa na dadamkuu kwani kipindi wanakukabidhi hiyo kitu hawakukueleza namna inavyopaswa kutumika? Nashauri rudi chuoni ulikosomea udereva wakupe maelezo zaidi
HAWA NDIO WATUMISHI HEWA ,,TUSILAUMU JITIHADA ZA Mr Presidaaaa, anapata licence hajui matumizi yake 😀😀😀😀Ukiona hivyo ujue kaletewa na dada
ahsante sana mkuuJibu Ni hapana,kisheria huwezi kuendesha gari peke yako ukiwa Na leseni ya learner hiyo kazi yake Ni wakati wa kujifunza Tu. Na pia Kama Una leseni ila bado unahisi hauko vizuri katika driving basi weka sticker ya L nyuma ya gari lako Ili kuwapa tahadhari watumiaji wengine wa barabara.
Sio kweli. ..unaweza kuendesha ukiwa na provisional licence, ila unatakiwa kuwa na mtu mwenye full driving licence ya kuanzia miaka mitatu akiwa pembeni yako (kwa kifupi, huruhusiwi kuendesha ukiwa mwenyewe).Jibu Ni hapana,kisheria huwezi kuendesha gari peke yako ukiwa Na leseni ya learner hiyo kazi yake Ni wakati wa kujifunza Tu. Na pia Kama Una leseni ila bado unahisi hauko vizuri katika driving basi weka sticker ya L nyuma ya gari lako Ili kuwapa tahadhari watumiaji wengine wa barabara.