Recent content by tesunho

  1. T

    Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

    Ulichokisema ni kweli kabisa kuhusu taratibu za kazi. Police had a duty to take reasonable care for act and Omissions. Pia afande sio mtaalamu wa ATM machine. Kwa mafunzo aliyonayo Afande alipaswa kujua huyu ni mjeda na sio mpaka upate kitambulisho na sio kujali machine ndo msaada.
  2. T

    UEFA iepusheni liverpool isikutane na barcelona kwenye UCL

    Barcelona wenyewe hawitaki liverpool wanaijua
  3. T

    Hivi kwanini mwanaume ukitaka kuoa unapapatikiwa sana na wanawake?

    Hamna la maana uoe usiolewe kawaida tu na kuna adhabu ndani yake unatakiwa uishi kinafiki tu ili umridhishe mwenza ndio maana michepuko haishi.
  4. T

    PAMBANIENI UHURU; Ameandika Baba Askofu Steven Munga

    Penye hofu watu hupinga hata kilicho haki yao sishangai kuona watu hata ukweli ambao hauhitaji mtu kufundishwa na mchungaji bado hofu kibaoooo
  5. T

    Mpenzi wangu ni babu wa miaka 65 hanitoshelezi, nifanyaje?

    Wewe nini usicho kijua chini ya jua tuliza mshindo jiandae piga game Kama aliweza piga vizuri first time nini shida
  6. T

    Mke wangu hajui kuzungusha kiuno kabisa kunako sita kwa sita sijui nimfukuze

    Huna maana kabisa hivi kila mtu angesema yako wewe ungekua wapi ?
  7. T

    Binti ni kiburi, jeuri, hupenda malumbano, ila nashindwa kumuacha kwa sababu nimezaa naye watoto wawili

    Hiyo pesa ni ka umetupa wewe vumilia watoto wakue kiasi ili uwapeleke shule na huyo atakua amebadilika ka hajabadiri tabia so you can decide otherwise
  8. T

    Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Piga mashine mpaka kieleweke maji si maumbile tu mkunje ivo ivo
Back
Top Bottom