Recent content by TESRA

  1. TESRA

    JamiiForums Tanzania Mikoa 15 Iliyochangia Mapato Mengi kupitia Kapu La TRA Kwa mwaka 2015/26

    Sijaelewa kusema mbeya ipo nyuma kimaendeleo kama singida. Yaani singida uifananishe na mbeya.. Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Dodoma nayo nikwasasa kutokana na uwekezaji wa miundombinu unaofanywa na serikali, Mbeya, Tanga, iringa, morogoro, kahama japo si mkoa, labda na geita. Hizo ni...
  2. TESRA

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya 2026 wilaya ya Kwimba Mwanza tumelipwa ela ya kujikimu tsh 360,000/= tu

    Sisi tuwasaidie nini. Mngepewa elfu 10000 akili zikae vizuri
  3. TESRA

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Mkunda: Ugaidi kwa Tanzania mpaka sasa hali ni shwari

    Nawewe mjinga kama dada ako anayekulea hapo nyumbani. Unaujua ugaidi ww
  4. TESRA

    JamiiForums Tanzania Barcelona usajili wa Gabriel Jesus mbovu

    Jesus si mbovu, changamoto majeruhi, pia hakuwa chaguo kubwa la ateta. Sehemu kubwa alianzia bench. Performance inaweza isiwe kubwa kama ilivyo kuwa city sababu za umri pamoja na kukosa physical fitness
  5. TESRA

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

    Simtetei, labda alianza kuimba na umri mdogo, kama ilivyo kwa mr blue.
  6. TESRA

    JamiiForums Tanzania Wanawake hatupendi wanaume wasio na hela!

    Ata sisi hatupendi usipo kuwa na trako
  7. TESRA

    JamiiForums Tanzania Hiviii,Tundu Lissu akipatikana na hatia,kuna tuzo atapewa Katuga?

    Wewe unaona kuna uhaini?
  8. TESRA

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

    Wewe ni first year udsm
  9. TESRA

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya ni jiji? My Detailed Explanation

    Umejitahidi sana mkuu, umeandika kwa facts pamoja na weakness zake hasa katika miundombinu. -serikali ijenge barabara za mitaani kiwango cha rami. -mitaro ya maji taka ijengwe . . Ila mbeya kuna vumbi balaha linatimuka kama jiji lipo jangwa la sahara 😃😃😃
  10. TESRA

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Tanga nilifka 2017 ukifika stand hakuna kukimbiliwa kama mikoa mengine😃😃
  11. TESRA

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hii ndo orodha ya Miji iliyodumaa Tanzania?

    Mbeya imekuwa juzi juzi ?.
  12. TESRA

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hii ndo orodha ya Miji iliyodumaa Tanzania?

    Mafinga huwez linganisha na Lindi. Mafinga pameiacha mbali Lindi.
  13. TESRA

    JamiiForums Tanzania Mtengeneza maudhui ya unywaji pombe maarufu Tonie Professor augua Ugonjwa wa Ajabu, aomba msaada kwa wadau

    Kuna mmoja hivi sijajua ni nchi gani, anakuwa na vumbi jingi sana akijikung'uta. Sis tutacheka tu lakini mtakao umia milele kwa maradhi ni nyie mnao tengeneza contents zisizo na faida kwenu
Back
Top Bottom