baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,042
- 12,754
Kwamba Uzi huu hauhusiani na dini? As if sio mleta mada aliohusisha kipato na dini?Hivi huwa mnatoa wapi guts za kuandika haya?nachokijua mimi unachokitetea hasa ni hapo kwenye bold ya mwisho kwenye bandiko lako.