Recent content by Tesla nical

  1. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

    Wakati unahoji uwepo wa mungu,jaribu pia kuhoji uwepo wa shetani. Everything has got its opposite. If you believe that the existence of God is invalid,then its obvious that the existence of Satan is invalid so. ÑIHAYO TU KWA LEO.... ASANTE
  2. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Narudia kwa mara ya mwisho. Argentina wasipobeba🏆, mniite mbwa niko nimekaa pale 👉
  3. Tesla nical

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    😂💔
  4. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

    Hii factor niliitegemea 💯
  5. Tesla nical

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

    Mbona umetusahau sisi madaktari
  6. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya asili uliyo nayo bila wewe kujua

    Fact 🥊
  7. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kuhama Chuo kwa upande wa vyuo vikuu

    Vipi naweza kufanya transfer kutoka private kwenda government? Na pia vipi kuhusu kuhama kozi pia with respect to mkopo
  8. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija

    Walewale walamba asali wanagawana keki kwa namna ya kipekee. ninachoamini mimi ni kwamba, hawa waliopewa scholarship wanauhakika wa kupata mkopo kutoka HESLB. ushauri wangu scholarship hii ingelenga kuwasaidia watoto wanaotoka shule za serikali ambao wengi wao wana uchumi unaochechemea.
  9. Tesla nical

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Hii inawahusu pia chaputa?😬😬 mwongozo tafadhali
  10. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Siyo kila kijana mtaani ni Panya Road

    Hatari sana hii😬😬
  11. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Mkenda dhambi hii ya udahili vyuoni isisubiri tamko la Rais Samia

    Unaongea tu kwa sababu una haki ya kuongea ama😬😬 serikali inakwama parefu sana, yaani haimtambui mtoto wa kaya maskini..... what a stupid 😬😬
  12. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Bank/Taasisi zinazotoa mkopo wa elimu ya juu

    Wakubwa hivi kuna taasisi nyingine tofauti na HESLB ambayo inatoa misaada ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
  13. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu alikubali mwanae pekee afe ili tuokolewe na sio kumuua shetani aliye chanzo cha dhambi zote?

    Binafsi nadhani shetani yupo ili sisi kama binadamu tutambue nafasi ya mwenyenzi mungu kwenye Maisha yetu, fikiria shetani angeliuawa mapema na mungu alafu binadamu akaja kuishi Maisha ya Raha, nadhani binadamu tusingetambua kwamba hili limefanyika kwa uwezo wa Mungu tutachukulia ni hali ya...
  14. Tesla nical

    JamiiForums Tanzania Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba

    😂😂😂😂 Kwahyoo unataka kusema wamemuonea huruma sio😬😬
Back
Top Bottom