Recent content by tescom

  1. T

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Polisi mkiwakamata wahalifu wapigeni bila huruma, watakaohoji waje kwangu

    Nchi hii tuna wanasheria wengi sana lakini wanashindwa kutumia utaalam wao kuwashtaki watu wanaovunja katiba
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kuhusu MCC kusitisha msaada wa MCC 2 na shughuli zake Tanzania

    Think out of the box Mr. Pole pole
  3. T

    JamiiForums Tanzania MAGUFULI AFANYE ZIARA YA KUSHTUKIZA UGANDA

    Bomba la mafuta ni moja ya vitu vitavyoingizia taifa fedha nyingi kwa wakati wote na ajira nyingi. Biashara ya kukaa Ikulu na kusubiria matokeo ya mpinzani wako Kenya itakula kwetu na hatuwezi badilisha gia tena angani.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Leo ndiyo Happy birthday yangu natimiza miaka 28

    Mod Ondoa huu uzi
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Lol Lema atamtungua kwa manati
  6. T

    JamiiForums Tanzania Dk. Meru asipofukuzwa, yatakuwa maajabu ya dunia!

    True, nimesoma nae na nimefanya nae kazi ni mtu mwadilifu sana ila sijui kama amebadilika alipoingia kwenye shamba la bibi (mali asili)
  7. T

    JamiiForums Tanzania Am sure hawa hapa watakuwa wamenuna, na hawa hapa watakuwa wanafurahia

    teh teh teh
  8. T

    JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kuwepo bila ya Baraza la Mawaziri?

    Ngongo una point
  9. T

    JamiiForums Tanzania Bila upinzani imara rais angekuwa Membe

    upinzani imara ndani ya ccm
  10. T

    JamiiForums Tanzania TRA na thamani ya magari

    Toa kwenye politics inafit Zaidi kwenye business forum
  11. T

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Nafikiri sio lzm kila siku iwe 12bn, huo unaweza kuwa mzigo wa siku moja then siku nyingine ni 0 or less than 12bn
  12. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene awashukia Lowassa na Dr. Magufuli

    Ameshakatwa anasubiri kusoma number october 25
  13. T

    JamiiForums Tanzania Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

    kama kuonyesha live tatizo ni pesa basi wajitahidi waonyeshe hata recorded ambazo wanaweza edit wanavyotaka irushwe itv/azam saa tatu usiku
  14. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA asilia mko wapi? Mbona Lowassa anaongozana na wageni wenzake tu?

    Wote wakiongozana na president majimbo yote Zaidi ya 300 siku zilizobaki ni chache watapigwa bao kwenye ubunge
Back
Top Bottom