MAGUFULI AFANYE ZIARA YA KUSHTUKIZA UGANDA

tescom

Member
Jul 29, 2015
16
1
Bomba la mafuta ni moja ya vitu vitavyoingizia taifa fedha nyingi kwa wakati wote na ajira nyingi. Biashara ya kukaa Ikulu na kusubiria matokeo ya mpinzani wako Kenya itakula kwetu na hatuwezi badilisha gia tena angani.
 
Ashitukize kivipi? Unadhani Uganda ni sawa na mhimbili hospital? Hiyo ni nchi nyingine lazima protocol zifuatwe!
Pili yeye alishaplay part yake unataka na kazi za watu wake wa chini nazo azifanye!?
 
Magufuli anataka hilo bomba kwa udi na uvumba. Raisi mwenye uchungu na nchi yake. Sio yule bumbuwazi aliyeondoka
 
Ashitukize kivipi? Unadhani Uganda ni sawa na mhimbili hospital? Hiyo ni nchi nyingine lazima protocol zifuatwe!
Pili yeye alishaplay part yake unataka na kazi za watu wake wa chini nazo azifanye!?

Kiswahili kigumu, labda ana maana ya safari ya ghafula.
 
Jamaa (m7 na magu) walishamaliza kinachofanyika sasa hivi ni "rough" za nyuma ya pazia!!
 
Kushtukiza? Asije kuta Museveni hajaanza kuandaa utaratibu wa ujenzi wa bombs bure!
Kisha gazeti la Uhuru likaja na habari; Mwenyekiti wa sasa wa EAC Rais Magufuli amsimamisha kazi Rais Museveni kwa uzembe
 
Back
Top Bottom