Recent content by tereweni

  1. tereweni

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

    Mkuu nakuunga mkono Tuache wivu, tupmbane kuandaa maisha ya kesho
  2. tereweni

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Big time
  3. tereweni

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

    Sioni kama ni sawa kumtupia lawama Hayati kwa mwenendo wa mambo yalivyo hivi sasa. Magufuli alijitahidi mno kwa wakati wake kuhakikisha 1. Miundombinu inakaa sawa 2. Nidhamu ya watendaji serikalini inakuwa ya hali ya juu 3. Huduma muhimu i.e maji, umeme, Afya, Elimu, na chakula vinakuwa si...
  4. tereweni

    JamiiForums Tanzania Madanguro yanayovunjwa na RC wa Dar ni kiduchu kwenye biashara moja kubwa sana

    Jambo kubwa, huanza na dogo. Asikate tamaa atayamaliza, ninyi mnao yajua sasa zaidi ya mwananyamala ni wakati wenu kutoa taarifa.
  5. tereweni

    JamiiForums Tanzania Hivi Wasichana wa Arusha wengi hawajitambui au ni ulimbukeni?

    Wacha waenjoy
  6. tereweni

    JamiiForums Tanzania Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

    You can not defend something without having an interest
  7. tereweni

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuuza hati miliki ya maisha yangu ili nifurahiie maisha ningali hai

    Umaskini ni hatari, Na ndio maana, kila mmoja anapaswa kuukimbia na kupambana nao kwa kufanya kila linalowezekana kihalali. LAKINI SI KUUZA NAFSI ndugu, Wazo ilo ulilonalo jaribu kuliondoa and see the beauty of this life through hustling.
  8. tereweni

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu mpya anakimbia shoo kwa kutoa visingizio

    Ana Mimba
  9. tereweni

    JamiiForums Tanzania Faruku Mhamadi: Mke wangu alinichoma kisu nikiwa usingizini

    Akili ipo sawasawa?
  10. tereweni

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mwendokasi huduma zinakuwa mbovu na wao ni monopoly?

    Mwendokasi kwa sasa umekua usafiri wa mateso ukilinganisha wakati unaanzishwa na madhumuni yake kiujumla. Umekokotoa vyema na umeshauri vizuri. Yafuatayo ni ya kuzingatia; 1. Waongeze idadi ya magari 2. Wafanye matengenezo ya magari yao 3. Madereva wao na viongozi wa vituo, wanachotakiwa...
  11. tereweni

    JamiiForums Tanzania Comment ziwe fupi fupi

    Uchunguzi unaendelea [emoji849][emoji849][emoji849] Shubamit
  12. tereweni

    JamiiForums Tanzania Nawapa pole Wafanyabiashara wa Kitanzania mliopoteza mali zenu Nchini Malawi

    Pole wafanyabiashara
Back
Top Bottom