Recent content by Tengelimale

  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, Ungependa siku zako ziongezeka hapa duniani? Zingatia hili

    Unamaanisha nini? NIjuacho Yesu alikuja kuwaokoa watu siyo Maiti
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je, Ungependa siku zako ziongezeka hapa duniani? Zingatia hili

    Good analysis remain blessed
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kabadilika kimuonekano

    Mkuu kumbuka pia hiyo ni mid set yako. Yaani the way you looked at her mwanzoni na sasa hivi is different . try to look ata her from the same angle as you did in the beginning.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kabadilika kimuonekano

    I dont agree with stressing her but jaribu kwenda nae mazoezi na apunguze kula.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kabadilika kimuonekano

    Jambo linalomfanya anenepe sana is peace of mind. Yaani ameubwaga moyo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kabadilika kimuonekano

    Naungana na wachangiaji wengi. Kubadilika shape is a must to most African women specifically Tanzanians
  7. T

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Hamna mtihani mgumu kwa mwanamke kama kuwa na jamaa anayejua kugegeda lakini hana hela

    That is why wake za vigogo wanadate na vijana wasio na fedha
  8. T

    JamiiForums Tanzania Code Switching and Code Mixing

    Duh inafurahisha saana. it shows how bilingual a person is
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli na uwazi kwenye mapenzi

    ngwananzengo i second you umesema ukweli. it is the culture ilotulea. we look the way we are tunaakisi culture
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nani anafanya Kiswahili kiwe kigumu?

    at leat vibanzi vinaendana na mabanzi sasa sharubati duuu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nani anafanya Kiswahili kiwe kigumu?

    Tatizo la taasisi za kiswahili zinaligalize maneno ambayo hayatumiwi na society. matokeo yake hayo maneono kama sharubati ,ngamizi, kihotomotela, tarakinishi hayatumiki na jamii na kama hayatumiki yanalose ligality ya kuwa luhga coz lugha inapaswa iwe conventinal na watumiaji sio watu wachache...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    pole dada nashauri achana na mumeo coz ukiendelea atakustress sana. wanaume wako wengi umpata mwingine. ila kuwa makini jaribu kurekebisha some skills kwenye kudo may be mamaako anasurpus. uendako oneza maskills ikibidi muulize mama akufunde how to ride.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nani anafanya Kiswahili kiwe kigumu?

    Tatizo la taasisi za kiswahili zinaligalize maneno ambayo hayatumiwi na society. matokeo yake hayo maneono kama sharubati ,ngamizi, kihotomotela, tarakinishi hayatumiki na jamii na kama hayatumiki yanalose ligality ya kuwa luhga coz lugha inapaswa iwe conventinal na watumiaji sio watu wachache...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nani anafanya Kiswahili kiwe kigumu?

    yes tarakilishi unacho sema ni kweli. The problem ya wataalamu wa kiswahili wanaborrow maneno zaidi kuliko kuconceptulize maneno mapya kwenye context ya kiaswahili. Chek maneno kama kihotomotela for ATM jamani tungeweza hata sema " kitoapesa" lingeeleweka zaidi kwa watumiaji this why waswahili...
Back
Top Bottom