Recent content by tender

  1. T

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kukopa pesa Platinum au Bayport matapeli hawa

    BANK NYINGINE NZURI.NI..GT BANK WPO VZRI SANA Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini maiti nyingi za watu maarufu zinahifadhiwa Lugalo?

    Sababu hatutaki umbea na taarifa za uongo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mpeleke kayumba, watakutana Chuoni

    Kweli mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania NSSF WANATUNYANYASA KWENYE FAO LA MATIBABU.

    Kama ww utakuwa ulichagua dispensary sio hospital mm natumia hyo bima na nipo hospital moja kubwa ya serikali hapa dar matibabu napata kwa gharama yeyote na dawa pia zips,sema kuna vipimo ukiandikiwa inabidi upate ruksa maalum na vipimo hivyo ni vile vikubwa kabisa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi magumu

    Bora ungedili na mkeo inawezekana mkeo ndio alimuanza kijana wa watu matokeo yake wamekolezana
  6. T

    JamiiForums Tanzania RITA:Sababu ya Mwanamke kumzidi mwanaume akili kwenye usajili wa mtoto

    Ukiona hakuna jina lako sababu ya ugomvi tu.tambua ww sio baba mzazi kaa pembeni
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

    Vipi washatoa movies yake kama Alexander na porus
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Utata kuhusu chanzo halisi cha utajiri wa Jumanne Kishimba

    Unatangaza biashara mkuu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Samsung Copy zimejaa mjini lakini Iphone Copy sijawahi kuiona

    Nitafute nije nikuonyeshe walizipigwa staff wenzetu kuitambua yaitaji utaalamu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Samsung Copy zimejaa mjini lakini Iphone Copy sijawahi kuiona

    Zipo kaka tembelea maeneo ya posta utawakuta wahindi na baadhi ya wabongo wanaziuza,ofcn kwetu watu wawili washauziwa na wahindi hzo cm fake na kusema og
  11. T

    JamiiForums Tanzania Simu feki zimerudi

    Mbona zimejaa tele ndugu ukienda kariakoo pesa yako Samsung ndio za kumwaga
  12. T

    JamiiForums Tanzania Upuuzi huu wa Startimes havumiliki

    Tatizo letu tunapenda kununua vingamuzi vya promosheni halafu tunasahau kuulizia vigezo na masharti
  13. T

    JamiiForums Tanzania Upuuzi huu wa Startimes havumiliki

    Startime nawakubali sana local Channel nazipata bure kabisa mwaka wa tano sasa nawapa bigup
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tecno User Vs Samsung and iphone user

    Tecno ni cm nzuri kwa matumizi ya kawaida kama social météore uweke whatsapp na fb hapo utaipenda ila ukiwa mtu wa online muda wote na kuingiza maApp mengi utaichukia
  15. T

    JamiiForums Tanzania Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Wanajeshi wapo poa sana hawanaga shida na MTU .labda huyo tu
Back
Top Bottom