Nyie wataalam wa jf siku hizi mbona mnakuwa na uchambuzi uchwara namna hiyo!!??
Yaani wewe kwa akili za kawaida unadhani samsung fake ina kila kitu kama genuine au!!!sasa ufake wake utakuwa ni nini!!???
Apple copy zipo mzee tembea uone UI amaizing ya ios 11,icloud huwezi access sababu hiyo simu haitakuwa na identity kule kwenye server,tena 7+ ndio kibao,juzi hapa nimechukua iphone 6+,katika harakati za kutafuta nikakutana na iphone 7+ plus ya 650,nikasimama niione kwanza.hapo ndio nilibwaga manyanga kwamba mchina sio mtu salama.
Tizama picha ya mdau hapo juu post no 42,achana na ufake huo unaouwaza wewe,tunaangalia simu inaomekanaje.mpaka tunda la silver.