Recent content by tempid

  1. T

    Brothermen Nyandindi A.K.A O-Ten amechoka sana

    Hawa watoto utawaweza. Walimuona jamaa in his 20s sasa hivi yuko late 30s or early 40s na kaachia ndevu wanaona kachoka.
  2. T

    Mabinti wa siku hizi hamuwaheshimu wakwe zenu kabisa!

    Wewe na yeye wote mmechemka.
  3. T

    Naomba ushauri ili nifanye maboresho ya ramani hii

    Living room ya ground floor iko wapi? Tafuta Romani ingine yenye nafasi au weka dimensions tuone labda ni kubwa.
  4. T

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Acheni chuki zisizo na msingi. Mitumba ni hii inaanza kudondoka hovyo. Si mlikuwa mnaona awamu ile ya wanoko ngojeni tu ability zitakaa Sawa huu ni mwanzo tu.
  5. T

    Kwanini makampuni makubwa ya kimataifa yanayouza bidhaa za rejareja yanaondoka Tanzania?

    Mmeongea vingi lakini mmesahau kitu kimoja. Hizo overpriced 'supermarket' sasa hivi zinapata upinzani mkubwa wa kibiashara kutoka kwa independent 'supermarkets' ambazo zimejaa mitaani siku hizi. Watu kama Jambo supermarket and the like wanakimbiza sana. Kwanini niende Game au shoprite mlimani...
  6. T

    Huyu ni kidato cha nne, Serikali chukueni hatua

    Mbona Kuna wenye shahada humu JF home of great thinkers wanaandika hivyo hivyo? Kazi ni kubwa.
  7. T

    Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?

    Mkuu hii hesabu iko sawa kweli?
  8. T

    Kwa mara ya kwanza Tsh Milioni 350 imeingia kwenye account

    Kuna watu wana muda watafukua thread zako.
  9. T

    Kwa mara ya kwanza Tsh Milioni 350 imeingia kwenye account

    Kuna mzee aliuza nyumba yake kwa billion kadhaa prime area. Akawagaia watoto wake kama 500m kila mmoja. Hivi ninavyoandika Kuna mmoja hata hela ya vocha anaomba na mzee kashafariki. Kuwa makini na hela ya urithi.
  10. T

    Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

    Unaongea na watu wenye upeo mdogo sana. Hawawezi kukuelewa.
Back
Top Bottom