Recent content by tembothegreat

  1. tembothegreat

    Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

    Huu uzi ni uzi ambao mtu anatakiwa auelewe vizuri kabla hajawa u reply.. Umenichukua muda wa masaa kadhaa nikasema niuamkie alfajiri ili niusome na kuuelewa... Hivyo basi niweze kusema Ndugu paskali uzi wako nimeuelewa vizuri... Hii nchi inamatajiri ambao wangeweza kupewa baadhi ya miradi...
  2. tembothegreat

    Uchambuzi: Nafasi ya Profesa Makame Mbarawa kwenye Urais Zanzibar

    Binafsi nimejua juzi kua mzee mbarawa ni mzanzibari... Mi nilijuaga ni mzanzibara.. Ushaifahamm
  3. tembothegreat

    Mbunge wa Jimbo la Rombo: Viongozi wenzangu wa CHADEMA wamenitenga

    mkuu vunjo bado unakiu napo? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. tembothegreat

    Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

    wote mnaompinga simba (nimewatukana kimoyo moyo. tena matusi heavy) . Sent using Jamii Forums mobile app
  5. tembothegreat

    Tigo mmebadilisha bei za vifurushi vya internet vya wiki?

    tgo kunasaa wakujaaaa halafu wanakataa.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. tembothegreat

    Historia ya Dinasours

    Pumba tupu. Ulitakiwa utuambie hao wanya walitokeaje Sent using Jamii Forums mobile app
  7. tembothegreat

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Mimi hii kitu kwa mbali naiamini. Maana sijawah kuona Mungu anasema Hii ni dhambi lakini ikibidi TENDA. How comes M.Muhamad aliwaambia waislam kula ngurue(MDUDU) Ni dhambi ila ikibidi kwenye JANGWA na kama hakuna MSOSI KULENI!!!!! Halafu mbona uladhambi ya kula ngurue haipo kwenye amri 10 za...
  8. tembothegreat

    Cryogenically Frozen: Sehemu zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki

    Ujinga tu. Kuna sababu ya kuumbe hai kufa. Kufufuka ndotoooo... Kama kuna kufufuka sasa kwann kuna kufa. Ujinga tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. tembothegreat

    MAONI: Gerald Hando, George Bantu na Gardner G Habash, ndani ya Jahazi!!!

    Mi nadhani ndugu Pascal Mayalla anafaa sana. Tena anakuja na ki segment chake cha siasa na katiba. Hatari fireeeeee.... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. tembothegreat

    Uchambuzi na maoni yangu juu ya kilichosababisha ajali ya Ethiopia Airline, si lazima kuwa na black box kuujua ukweli mchungu huu

    Mtoa mada unatisha. We ni msukuma, muhaya au mpare mwenzangu. Maana ukisema ww ni mgosi au mpogoro nakataa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. tembothegreat

    Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!

    Nadhan ni kweli maana hata kwa wachaga wakizaliwa mapacha na ikitokea mmoja wao kafa basi mwingine harusiwi kumzika mwingine. Hii niliiona moshi(marangu) pacha pater alivyofariki basi Paul hakurusiwa kumzika pacha mwenzake... Ila kingine Dingi, umejuaje habari za ulimwengu wa spiritual umewahi...
  12. tembothegreat

    Muungano Tanganyika vs Zanzibar(TANZANIA). Leseni za udereva na bandari.

    Shekh ruti ninazopigishwa mixa nipo gym. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. tembothegreat

    Muungano Tanganyika vs Zanzibar(TANZANIA). Leseni za udereva na bandari.

    Sasa lipi lilikua hasa kusudio la muungano maana bila kodi sidhan kama nchi yyte inaweza kwenda. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. tembothegreat

    Muungano Tanganyika vs Zanzibar(TANZANIA). Leseni za udereva na bandari.

    Mbona mjengoni wapo wabunge toka zenji? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom