Recent content by Temba Innocent Jvr

  1. T

    Waliopata mkopo wa HESLB, Mkwawa University College of Education

    Samahani mkuu, mwalimu Nyerere memorial wameshatoa majina?
  2. T

    Taarifa kwa wale wote wa NACTE

    Mkuu ya Jordan yanaonekanaje? najaribu ku-google nashindwa kuyaona. Nijulishe tafadhali-0719225687
  3. T

    Taarifa kwa wale wote wa NACTE

    Profile IPO vile vile na hakuna jipya lililoandikwa. na HATA email hakuna news. simu pia hawapokei. NACTE THEY ARE NOT SERIOUS AT ALL
  4. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Morogoro wilaya kama vile Mahenge/ulanga au Malinyi ni bora kubaki huko huko.
  5. T

    Sababu 31 kwanini Magufuli hawezi kuwa rais wa Tanzania

    huyu alikua escrow, hana maono tena.
  6. T

    Utabiri endapo CCM itashinda

    ni kweli. tutamkumbuka Kikwete, tutalia tutaimba heri Jakaya yule alikua MTU mpole. Nchi itakua ngumu na pressure groups zitaongezeka na chuki za kisiasa zitaendelea. HAKUNA KITAKACHOFANYIKA ,KIONEKANE BAADA YA MIAKA MITANO. itakua tofauti kama CCM ikishinda ikiamua kuunda Umoja wa...
  7. T

    Tupia majina ya baa za kibongo

    KIWANGO bar "tunatoa huruma kwa kutumia computer"
  8. T

    Lazima mjue kutofautisha

    mchepuko wa zamani na mchepuko mpya
  9. T

    Lazima mjue kutofautisha

    mchepuko wa zamanu na mchepuko mpya
  10. T

    Second Round Application TCU

    Kwani kwenye profile unaona nini? mbona mimi hua naangalia profile sioni kitu jipya? NILIAPPLY KUPITIA NACTE
  11. T

    Ajira Mpya Za Walimu Ni Kama Kesi Ya Lulu.

    Tatizo walitoa ahadi, sasa kunashetan linakiangamiza Chama tawala,hua wakiahidi kitu hawawezi kukitekeleza tena.
  12. T

    Suluhisho la matatizo ya ualimu ni kuacha ualimu

    Hayo ni matusi hata kwa wazazi/walezi wako ambao nao pia walikupa mafunzo na kusimama kama walimu wako pia. ("MWALIMU NI MZAZI SHULENI,MZAZI NI MWALIMU NYUMBANI")
Back
Top Bottom