swabrina
Member
- Sep 19, 2015
- 52
- 11
majibu yao utafurah na roho yako....hawajibu kama taasisi ,wanajibu kama unachat na mchizi tu flan ,yan usishangae kukutana na impolite words.
huhuhu daah ila nashkur nikilijibiwa vidhur
majibu yao utafurah na roho yako....hawajibu kama taasisi ,wanajibu kama unachat na mchizi tu flan ,yan usishangae kukutana na impolite words.
kama ndani haujaambiwa ureet choice inamaanisha umeshachaguliwa chuo kimoja wapo sema ndo hakijulikani ni kipi.Punguza presha[/QUOTE
mh kwel???
Tulio omba kupitia NACTE majina yametoka vyuoni,nimeona jina langu Leo asubuhi kwenye chuo kimoja hivi kipo arusha.hivyo tembelea websites
majibu yao utafurah na roho yako....hawajibu kama taasisi ,wanajibu kama unachat na mchizi tu flan ,yan usishangae kukutana na impolite words.
Tulio omba kupitia NACTE majina yametoka vyuoni,nimeona jina langu Leo asubuhi kwenye chuo kimoja hivi kipo arusha.hivyo tembelea websites
Hayo majina ni second round??
Kwenye profile sidhani kama kuna mabadiliko maana continue with application bado IPO@Philipo.co
Kama hamna sehemu reset kuna uwezekano mkubwa umechaguliwa, mfano mmi nimeona jina langu jordan, kwa hiyo punguzeni homa mambo yatakuwa poa
Kuna link moja humu ndani inasema vyuo vya arusha viwili vimetoa majina(IAA NA UOA)nimeangalia walio chaguliwa nikaona jina langu kwenye hiyo list ya majina,lakini profile yangu hamna mabadiliko zaidi ya continue with application.hakuna modify or resetKwani majina hayo yametoka lin maana wengine reset choice kwenye profile imetoweka juz tu
Kwani majina hayo yametoka lin maana wengine reset choice kwenye profile imetoweka juz tu
First batch, tembelea IAA na UOA,wametoa majina
Kuna link moja humu ndani inasema vyuo vya arusha viwili vimetoa majina(IAA NA UOA)nimeangalia walio chaguliwa nikaona jina langu kwenye hiyo list ya majina,lakini profile yangu hamna mabadiliko zaidi ya continue with application.hakuna modify or reset
Umechagua vyuo gani?na firstly priority uliweka ipi?
[UoA First Selection Candidates]. http://uoa.ac.tz/UoA SELECTED CANDIDATES 2015-2016_DIPLOMA AND PGDE.pdf.Naomba link ya UOA tafadhar