Mi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia, mwanamke ninaependa Maendeleo, Mama wa mtoto mmoja
Miaka 34
Mfanyabiashara
Mkristo
Nina jitegemea kwa kila kitu naishi Dar na mwanangu na dada wa kazi.
Nipo Tayari Sasa kwa kuanzisha Urafiki na...