Msaada kuhusu Biashara ya nafaka

telly21

New Member
Jul 29, 2015
3
45
Habari zenu wakuu,
Kama kichwa cha Habari kinavyosema,nahitaji kuanza biashara ya nafaka,mahari ni Dar es salaam Kigamboni hivyo nahitaji kuchukua fremu na pia kununua nafaka kwa bei ya jumla kwa wanaotoa mikoani na mimi nauza reja reja.
Msaada tafadhali kwa wenye uzoefu wa hii biashara
-wapi nitapata nafaka nzuri
-fremu nitafute maeneo gani
-mtaji naweza kuanza na sh ngap
-hii biashara ina changamoto gani

Aksanteni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom