Kijana mchapakazi wa shambani anahitajika

Kijana mchapakazi wa shambani anahitajika

telly21

New Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4
Reaction score
22
Natanguliza salaam,
Kijana mwelewa,msikivu, mbunifu na mchapakazi mwenye uzoefu wa kilimo (anae jua kulima) anahitajika
Awe tayari kukaa huko huko shambani, shamba lipo karibu na bagamoyo
Kula kulala juu yetu,Malipo maelewano
Mwenye ndugu jamaa au rafiki ambae ana sifa hizo naomba ani PM
 
kukaa huko huko?
holiday za mara kwa mara kuja mjini hakuna?

malipo? maelewano sawa, kukaa mwenyewe porini si mchezo, kazi naitaka, naanzia laki 6.5 kwa mwezi.
Deal?
 
kukaa huko huko?
holiday za mara kwa mara kuja mjini hakuna?

malipo? maelewano sawa, kukaa mwenyewe porini si mchezo, kazi naitaka, naanzia laki 6.5 kwa mwezi.
Deal?
HANA HELA HIYO HUYO
 
kukaa huko huko?
holiday za mara kwa mara kuja mjini hakuna?

malipo? maelewano sawa, kukaa mwenyewe porini si mchezo, kazi naitaka, naanzia laki 6.5 kwa mwezi.
Deal?
Hahahahaaa...Mimi Niko tayari kwa 4.5...kama mtoa mada yuko serious anitafute.
 
kama bado unahitaji kijana wa kazi za shambani nipm nimesaidia wengi na vijana wakaribu na wachapakazi
 
utampata nani mwehu umlipe laki moja ashinde shamba hiyo slave
 
Natanguliza salaam,
Kijana mwelewa,msikivu, mbunifu na mchapakazi mwenye uzoefu wa kilimo (anae jua kulima) anahitajika
Awe tayari kukaa huko huko shambani, shamba lipo karibu na bagamoyo
Kula kulala juu yetu,Malipo maelewano
Mwenye ndugu jamaa au rafiki ambae ana sifa hizo naomba ani PM
 
Sikieni niwaabie,
Hawa mnaowaona hapa wana account mpaka JF na siu wanatumia smartphone ni ngumu kweli kuwapata. Ila tunaolima hua tunatoa vibarua vijijini tunawaleta ukiuhakikishia hiyo laki 1 yake ya mwezi ukanunulia maroba ya maharagwe, dagaa, unga, na mafuta lita kadhaa, chumvi etc kazi zinaenda na anafurahia maisha kabisa.

Malipo ni mpaka ukivuna, unamjumlishia miezi yake mitatu unampa.
Hizo laki 6, 4, 5 zenu ni hela ya miezi mitatu hadi 6
 
Back
Top Bottom