Recent content by Tellme

  1. T

    JamiiForums Tanzania Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

    Mkuu hebu amka kumeshakucha sasa, acha kuota
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Jana kwenye vyombo mbalimbali tulimuona Mrema (Mbunge wa Vunjo anayemaliza muda wake) akimnadi mgombea wa uraisi kupitia CCM bila ya kujali kama chama chake (TLP) kimesimamisha mgombea wa urais, sasa hii inamaanisha nini? Je mgombea waliomsimamisha hana uwezo wa kuongoza nchi? Na kama jibu ni...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

    Ni muda umepita bila kusikia chochote kutoka kwa mgombea mwenza wa Lowasa ambaye ni Haji Duni (Babu Duni), je anaendelea na kampeni kimyakimya au vp? kwa anayejua hebu atujuze hapa tafadhal
  4. T

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nakerwa na vigezo vya uzoefu kuomba ajira

    Kwa hoja hiyo hata mimi ninaunga mkono
  5. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Halafu post kama hii ikifutwa pia unalalamika
  6. T

    JamiiForums Tanzania Siasa zisizokuwa na tija

    Hivi karibuni tumeona baadhi ya wanasiasa wakitumia muda mwingi sana kuongea mabaya wa watu ili wao waonekane ni bora kwa jamii, unakuta mtu anapanda jukwaani lakini cha kushangaza mpaka anashuka haelezi sera zake bali kuponda vyama vingine. Nadhani watu wanaokuja kwenye mikutano ya kampeni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Shirika la Umeme (TANESCO) limetangaza Nchi kuwa gizani kwa siku 7

    Wala wasingetoa tangazo kwa sababu kila siku Nchi ipo gizani
  8. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Sidhani kama ulimeikiliza Dr. Slaa kwa umakini, hakusema alikutana na Mwakyembe kwa ajili ya kufanya utafiti, kabla ya kuandika hapa ungejiuliza kwanza kama kuna utafiti unaoweza kufanyika ndani ya masaa machache na kupata hitimisho? Dr alikutana na Mwakyembe kwa ajili ya kupata nyaraka ambazo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Star TV should declare their interest

    Mkuu ukitakiwa kulitolea ushahidi hili uliloliandika hapa unaweza kufanya hivyo?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Hizi tetesi sasa tumezichoka, jana mlisema Lipumba, leo Dr. Slaa kesho mtasema nani?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Acha kuwa na mawazo mepesi kiasi hicho, kwani huamini kama kuna watu wa cdm wamebadili mawazo yao baada ya kusikia kile kilichosemwa na Dr. Slaa? Jaribu kufikiria zaidi mkuu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

    Tatizo ni kupanda ndege? Tatizo ni kwenda USA? Au tatizo ni nini?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Halafu baada ya hapo?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

    Mkuu kula mihogo inawezekana ni lugha ya picha inayoakisi ualisia wa maisha ya mtanzania wa kawaida, Hata sisi wenye maisha ya kawaida huwa kuna kipindi tunakula vizuri, so hiyo picha isiwe ndio mwisho wako wa ku conclude kama Dr. Slaa amedananya umma
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kweli CHADEMA ni chama komavu!!!

    Kumbuka kama hao wananchi ni mkusanyiko wa mtu mmoja mmoja
Back
Top Bottom