Recent content by telex

  1. telex

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Huu ubahili wa kutokuwasha taa za nje ya nyumba wakati wa usiku mtaacha lini?

    Mi nimegombana sana na mwenyekiti wa mtaa wangu kwenye vikao vya ulinzi shirikishi. Shida kubwa ni Elimu. Wako watu wanaamini kifaa kinachokula umeme sanaa ni flash disk. Wananikera sana.
  2. telex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu ya moyo....!!!

    Usimwache! Mpende zaidi na zaidi.
  3. telex

    JamiiForums Tanzania BAJETI: Yaliyojiri, Uwasilishaji wa mapendekezo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi 2017/18

    Sioni sababu ya kusomewa bajeti.
  4. telex

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Kadi yoyote ya bima unapata vipimo na hiyo Heligo kit.
  5. telex

    JamiiForums Tanzania Nimeweka record leo mlima kitonga.

    Kama hakuna vicheche.
  6. telex

    JamiiForums Tanzania Nimeweka record leo mlima kitonga.

    Wenzako tunapanda kwa dakika 6.7sek.
  7. telex

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Masafa marefu: Changamoto mbalimbali tunazokutana nazo barabarani Usiku

    (wabakaji wanaotumia maparachichi kama vilainishi) hasahasa njia ya Dar Tunduma maeneo ya igawa. Hatari sana.
  8. telex

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Masafa marefu: Changamoto mbalimbali tunazokutana nazo barabarani Usiku

    Unaogopa maparachichi! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  9. telex

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Lissu na wengine wengi walishapiga kelele bungeni hawakusikilizwa. Kama asivyosikilizwa sasa.
  10. telex

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Jamaa alikaribishwa vizuri mpk akajiona yeye ndiye mmiliki wa mawingu fm.
  11. telex

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe afungua kesi ya kikatiba dhidi ya RC Makonda

    Anatambua haki zake kama raia, najua hata ww unazijua haki zako vizuri.
  12. telex

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Makonda kushitakiwa
  13. telex

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Subiri waje
  14. telex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anasema namuumiza wakati duuduu

    tumia cement ya dangote inaleta utelezi mzuri.
  15. telex

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    duu kuna koment za watu humu, nahisi lile somo la uraia walifeli kwa alama A.
Back
Top Bottom