Recent content by TEKNOLOJIA

  1. TEKNOLOJIA

    Tundu Lissu anampinga Magufuli kwa kuwa anafuata misingi ya Mwalimu Nyerere

    hapo ndipo ninapowashangaa wanaccm,kwahiyo unakubaliana na mleta mada?
  2. TEKNOLOJIA

    September Mosi itakuwa siku ya kukumbukwa milele

    siipendi ccm lkn siku hiyo nitakaa home nafuatilia matukio kupitia itv,polisi wenyewe wa tanzania!
  3. TEKNOLOJIA

    Makonda: Meya wa jiji ni bora akawa na shughuli nyingine maana kazi yake sio kazi ya utawala!

    Kwa akili hizi za Makonda 'wazee endeleeni kutawala nchi,naona vijana hatujawa tayari kabisa kuiendesha hii nchi,akili zetu hazijakomaa bado labda mpaka na sisi tuanze kuzeeka ndio tuwe na akili za kiutu uzima'.
  4. TEKNOLOJIA

    Tovuti mbaya za serikali zilizotengenezwa na watalaam wa IT wa Tanzania

    Siyo sawa kuwatupia lawama wataalamu wa IT,kwani umeshasahau kuhusu siasa kutawala ktk kila eneo la nchi hii?umesahau kwamba tenda za kutengeneza websites za taasisi na idara za serikali hutolewa kwa kupeana pasipo kuangalia sifa stahiki?
  5. TEKNOLOJIA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vipi vijana? Nipeni matokeo ya Kristianstad v landskrona
  6. TEKNOLOJIA

    Kila Kadi ya Simu ya Mkononi Kutozwa TShs. 1,000 Kwa Mwezi

    Wakati serikali nyingine duniani zinafanya kila ziwezavyo kuwawezesha wananchi wake kifedha (kupitia kuwapunguzia mzigo wa kodi) ili watengeneze purchasing power base kubwa kwa afya ya biashara za ndani ambayo ndio chanzo kikuu cha mapato ya serikali, serikali yetu sisi inafanya kila iwezalo...
  7. TEKNOLOJIA

    Turudi kwenye reality: Rwanda ina wataalamu gani? Products za chuo gani? Any ranks..

    Rudi kwenye jukwaa lako la michezo,huku hakukufai hata kidogo.
  8. TEKNOLOJIA

    Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!

    Sio ngumu kumbaini huyo mtumbuliwa Pasco, atakuwa ni yule aliyepingana na maamuzi ya kukurupuka ya mkulu hivi karibuni. Amini nakwambia, akiondoka huyu Mpogolo ambaye ameonyesha assertiveness ya hali ya juu halafu akawekwa huyo bosi mpya wa aina ile ya 'NDIYO MZEE' basi tujiandae kwa majanga...
  9. TEKNOLOJIA

    Huyu Wizz Kid 'The Star Boy' Naye Sasa Kazidi...Aah!!?

    Ndio basi tena,msanii wetu Almasi huyooooo anapomoroka kwa spidi ya mwendo kasi.
  10. TEKNOLOJIA

    Huyu Wizz Kid 'The Star Boy' Naye Sasa Kazidi...Aah!!?

    Ila wa msanii wetu Almasi feat. Neyo ndio utakuwa big hit no doubt. I Iove your thinking!
  11. TEKNOLOJIA

    Sisi wataalam wa Tanzania tumesikitishwa na kauli yako Rais Magufuli

    Umeongea kitu kilichokuwa akilini miaka mingi sana,viongozi wengi tunaowachagua are not abreast with technology issues na hili ndo tatizo,inaniuma sana ninapoona viongozi wetu wanashindwa kufahamu mchango wa IT ktk kutengeneza ajira, kuboresha huduma za kijamii zitolewazo na serikali,kusaidia...
  12. TEKNOLOJIA

    Shinyanga: Mwalimu wa Shule ya Msingi Amshushia Kipigo Diwani wa CCM

    18% ya VAT imeanza kufanya vitu vyake!!!??
  13. TEKNOLOJIA

    Huyu Wizz Kid 'The Star Boy' Naye Sasa Kazidi...Aah!!?

    Ingia YouTube uutafute wimbo 'SHABBA' by Wizz Kid utapata jibu la swali lako.
  14. TEKNOLOJIA

    Why Kenyan women are having a hard time finding love in the Diaspora

    Same story with Namibian women being dissatisfied with their Namibian men.
Back
Top Bottom