Huyu Wizz Kid 'The Star Boy' Naye Sasa Kazidi...Aah!!?

Dah afadhari sasa akili itatulia, mlikuwa mnaniboa sana kumfananisha DIAMOND na vitu gani sijui vile, sasa angalau mnaukaribia ukweli. Japo umeongea kinafki sana wala sitakuwa na muda wa kukupa facts maana leo nimeamka vizuri sijisikii kulumbana.

images
 
Kwa mtu anaye faham mziki wa Africa hauitaji uzungu my mwingi kama ktk nyimbo ya shabba ya wizkid, nyimbo ya kawaida, ukitaka nyimbo yako Africa ihit washirikishe wamarekani lkn hakikisha beat ina mahazi ya kiafrika kama beautiful onyinye ya psquare na sio unyamwezi mwingi alafu nyimbo hama. Wiz si wa kwanza Kuna 2face ft t-pain hovyo, davido ft meek mill hovyo psquare ft TI ovyo etc na uhakika nyimbo ya shabba ni ya kawaida sana, ila wa bongo tena wazee wa oya oya kwa sababu fulani hawampendi basi nyimbo wanaiona kali. Ila D asiwaige hawa yy aendelee na midundo yake Kutoka Africa na atatoboa mbona angelika kidjo kuchukua grammy na midundo yake ya kiafrika. Shabba wa kawaida mwisho wa siku utakuwa kama nyimbo ya davido ft meek mill. Siku ukitaka mafanikio jiamini na kuwa ww kama ww utafanikiwa na wazungu wenzetu wanataka vitu vipya sio vile wanavyovifanya wao eti ww ufanye zaidi yao never kwanza watakushangaa na watakuona mjinga
 
ngoja ichuje ntaenda kuiona
 
Me nadhani we ni moja kati ya Washabiki mavi. Je uliwahi kwenda iTune hata siku moja kununua ngoma za Wizkid kuonyesha unamkubali? Unabwabwaja tuu Kiroho safi bila kujua nini kinachoendelea... Eti Psqure ni zilipendwa je Wizkid anaweza Kufikia mafanikio waliyo nayo hawa jamaa hata Robo? Kwa Africa kila Nyota itang'aa kwa wakati wake.

Huna aibu MTANZANIA mzima kumponda Msanii wa Nyumbani kwako? Hii ndio sababu KUU ambayo itazidi kuupa Muziki wa Africa magharibi nafasi ya Kuvuma Ulimwenguni sababu washabiki wa Bongo Flava baadhi yao Ni VILAZA mfano moja wapo WEWE:D:D.
 
Ila wa msanii wetu Almasi feat. Neyo ndio utakuwa big hit no doubt. I Iove your thinking!
Kwa mtu anaye faham mziki wa Africa hauitaji uzungu my mwingi kama ktk nyimbo ya shabba ya wizkid, nyimbo ya kawaida, ukitaka nyimbo yako Africa ihit washirikishe wamarekani lkn hakikisha beat ina mahazi ya kiafrika kama beautiful onyinye ya psquare na sio unyamwezi mwingi alafu nyimbo hama. Wiz si wa kwanza Kuna 2face ft t-pain hovyo, davido ft meek mill hovyo psquare ft TI ovyo etc na uhakika nyimbo ya shabba ni ya kawaida sana, ila wa bongo tena wazee wa oya oya kwa sababu fulani hawampendi basi nyimbo wanaiona kali. Ila D asiwaige hawa yy aendelee na midundo yake Kutoka Africa na atatoboa mbona angelika kidjo kuchukua grammy na midundo yake ya kiafrika. Shabba wa kawaida mwisho wa siku utakuwa kama nyimbo ya davido ft meek mill. Siku ukitaka mafanikio jiamini na kuwa ww kama ww utafanikiwa na wazungu wenzetu wanataka vitu vipya sio vile wanavyovifanya wao eti ww ufanye zaidi yao never kwanza watakushangaa na watakuona mjinga
 
Ndio basi tena,msanii wetu Almasi huyooooo anapomoroka kwa spidi ya mwendo kasi.
Me nadhani we ni moja kati ya Washabiki mavi. Je uliwahi kwenda iTune hata siku moja kununua ngoma za Wizkid kuonyesha unamkubali? Unabwabwaja tuu Kiroho safi bila kujua nini kinachoendelea... Eti Psqure ni zilipendwa je Wizkid anaweza Kufikia mafanikio waliyo nayo hawa jamaa hata Robo? Kwa Africa kila Nyota itang'aa kwa wakati wake.

Huna aibu MTANZANIA mzima kumponda Msanii wa Nyumbani kwako? Hii ndio sababu KUU ambayo itazidi kuupa Muziki wa Africa magharibi nafasi ya Kuvuma Ulimwenguni sababu washabiki wa Bongo Flava baadhi yao Ni ****** mfano moja wapo WEWE:D:D.
 
Makonda kaza buti hapo hapo, wa unfollow hao watu wao. Jamaa akishatoka inst mbio huku kuleta mambo ya huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom