Why Kenyan women are having a hard time finding love in the Diaspora

Beauty is only skin deep and it fades...an intelligent mind is remembered even after death.In the grand scheme of things all people age and look the same in old/middle age.

A beautiful intelligent mind does it for me..a good face just a bonus.y does it have to be competition between the two countries?I just don't get it.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Beauty is only skin deep and it fades...an intelligent mind is remembered even after death.In the grand scheme of things all people age and look the same in old/middle age..A beautiful intelligent mind does it for me..a good face just a bonus..Am Tznian btw why does it have to be competition between the two countries?I just don't get it.
Sio competition ni ukweli tu jinsi ulivyo
 
- Kiswahili kilibuniwa kwa usaidizi wa mwarabu kwenye pwani za Tanzania na Kenya kabla ya mwalimu Nyerere
- Lakini yeye ndiye aliwasisitizia mkitumie
- WaTz wanachukia Kingereza kwa ajili ya kushindwa kukiongea, bwana nimefanya shughuli nyingi na Wabongo kwenye corporates zenu, naongea kitu ninachokifahamu.
- Ukosefu wa kuongea Kingereza unawatatiza kiuchumi maana Kiswahili kina mapungufu sana kwenye corporate world, halafu unakuta Bongo stakabadhi nyingi zipo kwa Kingereza, mambo mengi yameandikwa kwa Kingereza maana mmeshindwa kuyatafsiri hadi Kiswahili. Unapata ni wachache wenu wanaongea Kingereza vizuri, yaani watoto wa matajiri na elites na wanasiasa ndio wanapelekwa kwenye international schools, wengine wenu mmebaki saint Kayumba siku zote. halafu hao viongozi wanafiki sana, wanawasisitizia eti mpende Kiswahili wakati wanawapeleka watoto wao hizo shule ama Kenya.

Kuna mmoja alinishangaza sana, akiwa nje na watoto wake anaongea nao Kiswahili, lakini wakiwa ndani nyumbani inakua Kingereza kwenda mbele, yaani anaficha msimuone eti sio mzalendo.

mchina, mrusi, mfaransa nao pia hakuna maendeleo kwa kuwa hawajui kingereza! WALAHI! duh MOLA wangu!
 
true,kwenye wanawake 50 wa kenya,maybe mmoja ndo anaweza kuonekana standard
4a6e5548a35df83b3c39e36f8d161a84.jpg
huyo ndio mrembo kimungiki mungiki
 
Wanawake wa Kenya ni washari kinoma yaani ni makauzu... Utasikia,, usiponitomba utaenda lala kwa choo
 
Back
Top Bottom