Recent content by tekategula

  1. T

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Ndo maana nimempa kanuni Kama anataka kujua Kama Mungu yupo kweli kwasababu huwezi jua jibu bila kufata kanuni
  2. T

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Fanya hivi funga kwa muda wa siku Saba ukiomba usiku na mchana utajua utapata jibu kuwa Mungu yupo au hayupo usisahau kuleta mulejesho hapa
  3. T

    Matumizi ya simu za kamera kiholela kama haya yakomeshwe

    Nawewe hii uloweka hapa kwanini ulipiga naona tuanze na wewe Kwanza
  4. T

    Wamasai ni watu jasiri sana

    Tena vitoto vidogo unakuta vimesha anza mapenzi ukitaka uamini tembelea Beach mida ya jioni kuanzia saa moja na kuendelea siku za sikukuu
  5. T

    Rais Dr. John Pombe Magufuli na mwendelezo wa kutokuhudhuria vikao vya Kimataifa nje ya nchi

    Lakini minaona wazili Mwenyezi dhamana ndo anausika hapo labda Kama kingekuwa nacha wakuu wa nchi happo sawa nawazo tu
  6. T

    Mlinda amani wa UN raia wa Tanzania ameuawa nchini Congo na mwingine ajeruhiwa, JWTZ imetoa taarifa rasmi ya kifo hicho

    Masikini da apumuzike kwa amani ndugu yetu,mbele yetu yeye nyuma yake sisi ,Amina[emoji47]
  7. T

    Rose Garden ya Jijini Dar ni Bar ambayo matukio makubwa hupangwa

    Nawewe unakiti chako hapo au ulifikaje[emoji33]
  8. T

    Sina amani wala furaha kwenye ndoa yangu, Nataka niondoke nimuachie kila kitu

    Kukimbia tatizo si kusozu tatizo unako kimbilia ukikutana natatizo Kama Hilo au zaidi ya Hilo je utakimbia tena au?
  9. T

    Wapingaji uwepo wa Mungu wameongoka na kukengeuka msimamo wao?

    Amina.......naamesema nando ukweli kua yeye ndo Alfa na Omega Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom