Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

[Colour=blue] najaribu
Ni hiv mr
[ color=red ] futa hizi space kweny mabano halafu mbele ya mabano usiache nafasi yaan neno lako lianzie hapo.
Strongmind mfano huu hapa
NiKitaka kuandika wote karibuni, nafuta space zilizokwenye mabano na kisha mbele ya mabano siachi nafasi yaan naanza kuandika neno au maneno yangu. Ukitaka kumtag mtu anza na @ usiache nafasi jina la mtu.Mfano.
Wote mnakaribishwa.
Kwahiyo ukishafuta space na mbele ya mabano bila kuacha nafasi. Hizi [ color=red ] zitatoweka na hapo kweny red unaweza kuandika neno la rangi yyte utakayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom